Hakika Yanga SC 'mmetuumbua' leo kwa vitendo tuliyojua jezi zenu nyeusi ndiyo zenye bahati kwenu

Mwaka unaisha naona akili zako nazo zimetoka mafichoni kuungana nawe mtani ktk kuupokea mwaka mpya.
Naanza kukuelewa sasa mtani.
Safi sana🤣🤣🤣
 
Ninachokukubali hupendi unafiki, sehemu ya kusema ukweli unausema.

Leo unawashauri makocha waende na kikosi gani kuwakabili kmc?
Kikosi chochote Nganda watashinda.
Kwa maoni yangu naona imeshapangwa iwe hivyo. Kinachonisukuma kuandika hivi ni hii ratiba yao wamepangiwa wasichoshwe watoto wa mama. Sio ile ratiba leo mkoa huu mechi inayofuata Dar inayofuata tena mkoa ule ule uliocheza kabla halafu inayofuata Dar tena.
Na hii KMC kupeleka mechi waliko Nganda inafikirisha kidogo ingawa sina uhakika na tuhuma.
 
Chochote kinaweza kutokea, nawaombea kmc wapate walau point moja.
 
Hapana bwana usibadilishe gia angani ulisema jezi nyeusi ya yanga ndio inayowafanya washinde mechi na ukawatisha watu kwamba na wao wasikubali kuvaa jezi tofauti na nyeusi kwani ndiyo ina maelekezo ya mganga wao sasa timu nyingi zimeanza kuingia mkenge na simba usishangae wakaja na wao kutaka wavae jezi nyeusi ili wasifungwe na yanga uliwapoteza
 
Unaomba kura za wananchi? Usijali utapata
 
Mbona ulijifanya fundi wakusoma body language kipindi kile wanaenda Tunisia na ukala za pua?Yanga hii kila Kolo atakiri hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…