Hakikisha kabla hujafikisha 40 unawala mademu wafuatao

Kwa maisha ya wasaka tonge tu haya, we uko ndotoni nahisi.
 
hiyo orodha mpaka inatimia utakuwa salama kweli?
 

Mkuu uliyoyataja hata mtumishi mstaafu na kiinua mgongo chake hafikii sasa sisi vijana tufanyeje?, mi nadhani ujanja ni kuishi maisha vizuri bila kuyapima kwa fedha.

Nimesema kuishi maisha vizuri na si kuishi maisha mazuri.
 
🤔Kumbe zile movie za mazombie ni true story😮

Daah unaanzaje kula binadamu mwenzako aisee🤨😥
 
daa karibia namba zote nimekula 6,5,1,3 mzee kama ulmeniona na gambe nimeacha naanza focus na life kwa sana
 
Zote hzo nishachakaza sijaacha hata moja labda Kama kuna mpya
 
Wote nimeshawalamba hasa wake za watu na bado nawalamba
Kuna KY mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
watu hawauogopi kwasababu hauuwi siku hizi watu wanaogopa kisukari tu
Kuna Dada alinambia ndom zinamletea fangasi sasa Mm nikawa naogopa kumla kavu... Akanambia waogopa nn?? Cku hizi tunaogopa kisukari tuu ukimwi hauui... Daah dyudyu ilisinyaa pale pale... Alikuwa dem wa hitwe
 
Mkuu uliyoyataja hata mtumishi mstaafu na kiinua mgongo chake hafikii sasa sisi vijana tufanyeje?, mi nadhani ujanja ni kuishi maisha vizuri bila kuyapima kwa fedha.

Nimesema kuishi maisha vizuri na si kuishi maisha mazuri.
Yes, everyone has his/her perceptions.
Na ndo maana ukipima maisha/maendeleo/furaha kutumia scale ya mwingine either utajidanganya kwa kujiona uko juu zaidi au utaishia kunungúnika kwa kujiona umefail kwa kila nyanja.
 
Kwa maisha ya wasaka tonge tu haya, we uko ndotoni nahisi.
Thats why kila mtu anatafsiri yake.
Na usitafsiri maisha/mafanikio/ujanja/maendendeleo kutumia maisha ya mwenzio.
Utaishia either kujiona mjanja saana au fal.a saaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…