Hakikisha katika kipato chako unachokipata usisahau kutoa sadaka

Hakikisha katika kipato chako unachokipata usisahau kutoa sadaka

Usisahau kuwakumbuka watoto yatima

Usisahau kuwakumbuka wenye mahitaji maalumu

Usiwasahau wenye hali za chiniView attachment 2991332
Kweli kabisa,Mimi ninao yatima ambao wanahitaji msaada Ila Sina kipato kikubwa Sana Cha kuwasaidia.
Km Kuna MTU anaweza tuma chochote ningefurahi Sana.
 
Nawewe mwenyewe usisahau kuto ahirisha kufikiri kwa masilahi ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…