Hakikisha mtoto anasoma hapa:

Hakikisha mtoto anasoma hapa:

Roulette

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
5,568
Reaction score
5,386
Tuache utani...CWUR 2014 | Top 1000 Universities

  • Katika vyuo Kumi bora duniani hakuna chuo hata kimoja toka Africa, South America au Asia. Chuo cha kwanza toka Asia ni #13 Japan.
  • Katika vyuo mia bora duniani bado Africa hatupo jamani. You have to scroll to #131 ndio upate Brasil.
  • Katika vyuo mia mbili bora hatumo bado. Hata best 150 bado!!! You have to scroll down to #167 ndio upate South Africa's university of cape town.

Ni kweli kwamba ukiangalia faculty per faculty, unaweza kuta chuo fulani kinatoa course fulani bora kuliko vingine vyote, na ranking hii inaweza badilika. Ila katka criteria hizo, mwaka huo hali ndio hiyo...As tunasubiri elimu yetu iwe bora, nashahuri tujitahidi kutuma watoto wakasome nje, halafu wakimaliza WARUDI KUSAIDIA WALIOBAKI.
ni hayo tu kwa sasa.
 
But hizi list zina change daily...kuna list ambayo Cape Town University imo ndani ya top 100...

halafu kuna list Makerere iliwahi kutajwa na Kairuki na UDSM...sikumbuki vizuri but zimewahi kuwekwa hapa jf hizo list...
 
Kusema kweli hapa kwetu bado sana, naongelea Tanzania.

Wazungu wanatupa vi scholarship tunafurahia, vichwa vya maana vyote wanavibakisha hukohuko wanaturudishia makanjanja.
 
The Boss shida ya criteria ni shida kubwa. kila mtu anakuja na criteria ambazo zinasaidia kupendekeza Uni zao katika mia bora. Sina shaka kua hii hapa imetafitiwa na wamarekani wenyewe. Kumbuka kua model nzima ya Wallstreet, IMF WorldBank, NSEx TSEx, NasDaq, cac 40 na wengine wanategemea research za Havard, Oxfor, Cambridge kwa inovation na predictions zao. Hapo unadhani itakua rahisi kusema tatu hao wapo kwenye 100 kwenda chini? Lazima waseme these guys are the best you'll ever see.
Shida nyingine mfano ni pale wanapo tumia "citation" kama kigezo. Leo ni rahisi kupata researches za Havard mtandaoni. Na wanao tumia mitandao bado ni hao hao, kutafiti kuhusu context yao. mimi naweza tafuta research kuhusu dengue na nisipati wakati chuo kikuu cha Dar Es Saalam kina research nyingi na nzuri tu kuhusu topic yangu. Shida ni internet access, shida ni availability of the research on internet. Hii haina maana kua chuo kimeshindwa kutoa tafiti nzuri ila tu ni costs, logistics, management na mengine.
Mimi nina mfano hai. Kuna watu wanasomea Sheria UCB Bukavu tu hapa DRC wanaenda kupata PhD Belgium on a sister University (#191) na huko akaweza Cum Laude. Foundations ni nzuri sababu kwanza waalim ni wale wale wanakuja huku seasonally. Sasa hapa utasemaje hizi Uni huku sio nzuri? Hao surveyors walifika huku kuchunguza na kuweka research into context au they went for the easiest way?

A lot can be said. But as we wait to come up with our own list, there's no way mwanangu atasomea huku wakati uwezo wa kumtuma nje unaweza patikana... NO WAY
 
Last edited by a moderator:

Umeona BRIC nations zinaanzisha their own 'world Bank'?
so very soon na wao wakija na lists zao za top in the world utashangaa i completely different na hizo
very soon...
 
Nakubalina na Roulette hapo juu

Jamani tusipende kuamini kila kitu unachopata kwenye google.Watu tumezoea kugoogle halafu results za google search ndio zinakuwa vyanzo vyetu.

Kwenye academic perspective google haitambuliki na hata kama upo kwenye mazingira ya watu makini hawawezi kuamini tu website yoyote kama chanzo.

Kuna website nyingi sana zina hii listi ya vyuo bora na hizo listi zina tofautiana sana,hapo ndio utajua kuwa kuna masilahi binafsi katika hizo listi.

Kwa maana hii inabidi tujifunze kupata taarifa kutoka kwenye vyanzo(website) ambazo ni za kuaminika kwa maana ya kwamba zina reputation kubwa katika eneo husika.Mfano,UNESCO wakitoa listi yao kidogo naweza kuamini kama chanzo ambacho hakipo bias kwa kiasi kikubwa.
 
Last edited by a moderator:
Kama alivyosema the Boss, hizi datas zina vary. Inategemea who is collecting them. Binafsi nimepunguza kuzipa kipaumbele kwa sababu sio kila mwanafunzi atafanyikiwa kuingia kwenye Ivy league Universities,wa sababu hizo shule ni chache na wanafunzi ni wengi. Mfano: USA Ina karibia college na Universities za kawaida 6,500. Ndani ya hizo, kuna 7 Ivy Leagues only ( Colombia, Cornell, Harvard, Yale. Princeton, Brown and Dartmouth). Kutegemea kwamba only Ivy league education ndio ufinguo wa maisha kwa kila mtu it's wrong. Ni kweli kwamba graduates from Ivy leagues wanapendelewa kiajira, zina reputation NZURI, lakini sio kila MTU atajaaliwa kuingia. They are tough to get in.

Cha muhimu ni kusoma kwa bidii popote utakapopata nafasi ya masomo. Ni kama hii debate ya kila mara humu kwenye forum kuhusu Universities za Mlimani, Mzumbe na Dodoma, kwamba ni chuo kipi bora. Does it really matter where you get your degree? Tuchukulie mfano wa hapo nyumbani: Nchi ina watu milioni 40. Nchi haina hata College/Universites 30 za viwango zinazokubailika duniani, nchi haijafikisha hata Graduates 100,000 toka Uhuru, lakini kila mtu anataka kujionyesha yeye ni bora kuliko mwingine kwa sababu amesoma Mlimani, Mzumbe, Sokoine au Dodoma.
 
Ndugu m_kishuri na Xfactor, nakubalina nanyi kua data zina vary. But I challenge you to bring me a list where Tanzania ipo katika mia bora. Any list...
My point is: pamoja na kua kuna bias kibao, na kila mtu anavuta shuka upande wake, bado in any ranking sisi tumechelewa. Sasa wakati tukisubiri kuboresha elimu yetu ya vyuo vikuu, tuhakikishe watoto wetu wanapata elibu ilio bora ili waje kusaidia elimu yetu, na maendeleo yetu kwa jumla.
CC The Boss
 
True but hao wa tz waliosoma huko mbona hatuonani impact yao...? Wengi wanaburuzwa still na hawa hawa waliosoma udsm na vingine...
 
Last edited by a moderator:
Kwanza Tz inabidi tubadili mfumo wa Elimu ili tuwe na mitahala yetu ambayo inaendana na Mazingira husika,ukiangalia Elimu ya Africa ni copy and past ya colonia Education,kwa namna yoyote ile Afica hatuwezi kucompete na Mataifa ya kibeberu,ila mabepari wana sera ya kujiweka superiority. Kwa hizi data ni dhahiri kwamba bias ipo kwa developing countries
 
True but hao wa tz waliosoma huko mbona hatuonani impact yao...? Wengi wanaburuzwa still na hawa hawa waliosoma udsm na vingine...

Vichwa vinabakishwa hukohuko huvioni hapa. Makanjanja na walio boogie ndio wanarudi.

UDSM kuna vichwa? kuna nusu vichwa, saa ngapi watakaa wafukuze mbu saa ngapi watakaa wafanye researches za maana?

Mara mjomba hana fees, mara dada anakuja mshughulikie kumfanyia mpango wa hospitali, mara babu kafa na lazima uende, mara jirani ana harusi unatakiwa kwenye kikao, kama hukwenda hata ukiingiliwa na mwizi ukipiga mayowe hawatoki kukusaidia, kisa hujenda kwenye kikao cha harusi cha mtoto wa The Boss. Kutabaki vichwa hapo? mimi nasema ni nusu vichwa, tena wala si nusu, ni shingo tu tulizonazo hapa.

Hapa hata research za maana hakuna kuna papers tu, na nyingi ukizisoma unaweza pata kichefu chefu, amini usiamini.

Kuna hizo funds za research? mawee!

Sisi bado sana kwa sasa, lakini tunaelekea kuzuri na InshaAllah gas tuliyojaaliwa nayo ije kutubadilisha.
 
wenzetu private funds na private institutions pia zinachangia mno elimu..
sisi bado tunaitazama mno serikali....
 
mimi sioni chochote...watu hata kukosoa tu wanaogopa...

Teh teh teh.....Watanzania bado sana...kuna mengine hufanyika mtu ubanaki unashangaa tu.

Ukijaribu kuhoji wanaanza kukunyooshea kidole eti unajifanya unajua...mara ooh sijui uko nje ya mguso (out of touch).

Mtu unajikuta unapotezea tu.
 
ukiona wasomi wanaogopa kukosoa viongozi mbumbu ujue hatari sana...
yaani watu kama Yusuph Makamba wana confidence while phd holder wana ogopa ku criticize...in the end peopl like Makamba wanageuka kuwa ndo 'think tank' za taifa.......hatari...
 
Back
Top Bottom