Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,568
- 5,386
Tuache utani...CWUR 2014 | Top 1000 Universities
Ni kweli kwamba ukiangalia faculty per faculty, unaweza kuta chuo fulani kinatoa course fulani bora kuliko vingine vyote, na ranking hii inaweza badilika. Ila katka criteria hizo, mwaka huo hali ndio hiyo...As tunasubiri elimu yetu iwe bora, nashahuri tujitahidi kutuma watoto wakasome nje, halafu wakimaliza WARUDI KUSAIDIA WALIOBAKI.
ni hayo tu kwa sasa.
- Katika vyuo Kumi bora duniani hakuna chuo hata kimoja toka Africa, South America au Asia. Chuo cha kwanza toka Asia ni #13 Japan.
- Katika vyuo mia bora duniani bado Africa hatupo jamani. You have to scroll to #131 ndio upate Brasil.
- Katika vyuo mia mbili bora hatumo bado. Hata best 150 bado!!! You have to scroll down to #167 ndio upate South Africa's university of cape town.