Hakikisha unafanya kwa ukubwa Biashara yako wakati unaanza

Hi idea Ni nzuri

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Oya, we fala uko na akili mingi sana. Umetema "pwenti" tupu!

Naifanyia kazi hii.
Huyu ndio mtu SAS mpambanaji na siyo kina umughaka wanaofanya ushirikina nao wanaonekana Ni wapambanaji Safi Sana controla his ndio tunataka na siyo story za kwenda kwa waganga na kwa kina ally mpemmba

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu huyu jamaa kanena hapa ndiyo panatakiwa hivi.Mpo mliyosoma bookeeping na commerce mtumwagiye kanuni za biashara hapa.
 
Ile thread yako ya kuhusu mambo ya laibrar mbona haionekan mkuu..
 
Shukrani Chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…