Hakikisha unapoalikwa usikusanye kijiji cha marafiki au ukaambatana na watoto zingatia mwaliko unakuhusu wewe tu sio marafiki zako.

Hakikisha unapoalikwa usikusanye kijiji cha marafiki au ukaambatana na watoto zingatia mwaliko unakuhusu wewe tu sio marafiki zako.

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Hakikisha unapoalikwa usikusanye kijiji cha marafiki au ukaambatana na watoto zingatia mwaliko unakuhusu wewe tu sio marafiki zako
1732050810378.jpg

Hakikisha mnapokuwa mumeahiadiana na mtu kukutana unakuwa ontime maana wapo watu mkiaahidina saa tisa yeye anakuja saa kumi😀

Hakikisha unavaa kuringana na eneo zingatia vazi la staha usije kuoneka kituko. Yatafakari mazingira na aina ya mtu wako. Kama ni siku ya kwanza kuonana naye epuka kuvaa vibaya.

Hakikisha mnapokuwa mnaongea unampa usikivu na kuepuka kuwa busy na simu, tv au chochote kile kitakachonesha unadharau.

Hakikisha unakula na kunywa kwa tahadhali na kwa staha. Kukuambia kula au kunywa kile utakacho usifanye kwa sifa kuwa mtoshelevu

Hakikisha unanukia au umejipamba kwa kiasi tu. Maana wapo watu wanajiremba mpaka wanakuwa vituko zaidi badala ya kupendeza .
 
Back
Top Bottom