Hakimi aitamani Yanga

Hakimi aitamani Yanga

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Unaambiwa analia sana huko Serengeti anataka kuja Yanga, anadai Mbappe na Halland pia wanaomba nafasi jangwani.

Hatahivyo uchambuzi wa kihasibu unasema kuwachukua ni hasara kwani wataishia benchi au kikosi chapili kutokana na wakali Prince Dube, Clatus Chota Chama, Aziz Ki, Pacome na Guede kuwepo pale Yanga.

Poleni sana kwa kukosa kucheza kwenye kosi lakihistoria.
 
Kupata kichekesho kingine, bonyeza tatu
 
Kijana ipo siku utavaa chupi juu ya suruali au kichwani kama kofia sababu ya hizi bangi unazovutia chooni
 
Unaambiwa analia sana huko Serengeti anataka kuja Yanga, anadai Mbappe na Halland pia wanaomba nafasi jangwani.

Hatahivyo uchambuzi wa kihasibu unasema kuwachukua ni hasara kwani wataishia benchi au kikosi chapili kutokana na wakali Prince Dube, Clatus Chota Chama, Aziz Ki, Pacome na Guede kuwepo pale Yanga.

Poleni sana kwa kukosa kucheza kwenye kosi lakihistoria.
unavuta bangi ya majani au ya mbegu?
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Back
Top Bottom