Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Unaambiwa analia sana huko Serengeti anataka kuja Yanga, anadai Mbappe na Halland pia wanaomba nafasi jangwani.
Hatahivyo uchambuzi wa kihasibu unasema kuwachukua ni hasara kwani wataishia benchi au kikosi chapili kutokana na wakali Prince Dube, Clatus Chota Chama, Aziz Ki, Pacome na Guede kuwepo pale Yanga.
Poleni sana kwa kukosa kucheza kwenye kosi lakihistoria.