Garincha II
Senior Member
- Jul 21, 2023
- 185
- 213
Anaharibu nini pengine?Huyu jamaa naye anaharibu sasa.
Charity is charity aache ujinga.
Kwanza hapa amekuja tu kulipa fadhila kwasababu lazima amepata followers wa kutosha hapa bongo hence more money.
Huyo ndo gentleman sasa, mfano wa kuigwa hasa kwa usawa huu ambao wanawake wameamua kutumia wanaume kama kitega uchumi. Alijua sheria za mchezo mapema.Huyo ni adui yetu wanawake! Tokea alivyotunyima gawio la mali
Kwaio Achraf Hakimi kumtaja Eng Hersi kwako imekuwa nongwa?Watu wasahaulifu sana. Wamesahau jinsi kwa misimu zaidi ya mitatu sasa Simba imecheza mechi za ushindani mkubwa dhidi ya timu za Morocco, ikiwemo zile za Raja ambazo timu zote mbili zilibuni mbinu ya kutumiana vijembe mitandaoni kama mbinu ya kuongeza mwamko wa utalii nchini.
Watu wanasahau Simba kamtoa kigogo wa Africa Wydad hatua ya makundi msimu huu tu ulioisha ambayo kama huko Serikalini kungekuwa na watu wanaojua mbinu hasa za kukuza utalii hizi zote ni njia za kupita. Siasa imeingia, leo Yanga ndiyo wanaonekana vinara wa kukuza utalii. Ufahamu wetu wa utalii bado uko hatua ya chekechea hasa kwa kuwa siasa zimetutawala sana.
Hivi kati ya Simba na Yanga nani anaheshimika zaidi huko Morocco? Tukiweka siasa pembeni, kama tunatafuta engagement ya utalii kupitia michezo, option ipi ni bora zaidi?
Unaweza kuweka hapa alichosema βverbatimβ tuone kama heading ya mleta mada iko sahihi?Anaharibu nini pengine?
Kuna chuki gani kwa nilichosema. Una panic for nothing. I wonder whatβs wrong with you!Mbona umejaa chuki za kipuuzi wewe jamaa??
Wewe umewahi kufanya charity ya aina yoyote huko kijijini kwenu?
Ile issue yake ya kuandika mali kwa mama yake ili trend sana maeneo ya huku na kumuongezea followers wa kutosha.Amelipa fadhila kwa kitu gani? Ni fadhila gani hiyo aliyofanyiwa mpaka ameamua kuja kuilipa? Hiyo fadhila alifanyiwa na nani?
Alikula kitu kizitoNa Mungu anazidi kumbariki na kumlinda dhidi ya nyie nyoka msiokuwa na ubinadamu hata kidogo.
Imagine yule mwenzenu angefanikisha ile adhima yake ya kishetani unafikiri leo hii angeweza hata kufanya hayo yote anayoyafanya? Kuwasidia wengine wasiokuwa nacho?
Yule mwenzenu angefanikisha ule uporaji hata zile fedha sisizingeinufaisha jamii kama Hakimi anavyofanya sasa..... sana sana tu huyo mwenzenu angezitumia zile millions of euros kununulia magauni ya bei mbay, mikoba ya bei mbaya pamoja na kwenda exotic vacations akiongozana na mashoga zake... naamin kabisa asingechukua hata 100 kwenda kutoa msaada kwenye kituo cha watoto yatima.
Dunia ya kisasa imejaa dhuluma sana kwa mwanaume na nyie wanawake mnatumia sheria mbovu kandamizi kama muhuri wa kufanya dhuluma hiyo.
Achraf Hakimi ameingia kwenye vitabu vya historia na atakumbukwa siku zote kwa kutumia akili nyingi kuishinda dhuluma ambayo imewaumiza wanaume wengi.
[emoji23][emoji23]usiongelee history mkuuWatu wasahaulifu sana. Wamesahau jinsi kwa misimu zaidi ya mitatu sasa Simba imecheza mechi za ushindani mkubwa dhidi ya timu za Morocco, ikiwemo zile za Raja ambazo timu zote mbili zilibuni mbinu ya kutumiana vijembe mitandaoni kama mbinu ya kuongeza mwamko wa utalii nchini.
Watu wanasahau Simba kamtoa kigogo wa Africa Wydad hatua ya makundi msimu huu tu ulioisha ambayo kama huko Serikalini kungekuwa na watu wanaojua mbinu hasa za kukuza utalii hizi zote ni njia za kupita. Siasa imeingia, leo Yanga ndiyo wanaonekana vinara wa kukuza utalii. Ufahamu wetu wa utalii bado uko hatua ya chekechea hasa kwa kuwa siasa zimetutawala sana.
Hivi kati ya Simba na Yanga nani anaheshimika zaidi huko Morocco? Tukiweka siasa pembeni, kama tunatafuta engagement ya utalii kupitia michezo, option ipi ni bora zaidi?
Sema anajipendekezaEng hersi nyota inawaka
Mbona Try Again ana connection na Rais wa FIFA Bw. Infantino.Hapo injinia anatengeneza connection na watu wa maana.
Hasira zp tena?Hasira za nn mkuu
Sawa, basi amekuja kwa ajili ya Mangungu ufurahi. ππππHuyu jamaa naye anaharibu sasa.
Charity is charity aache ujinga.
Kwanza hapa amekuja tu kulipa fadhila kwasababu lazima amepata followers wa kutosha hapa bongo hence more money.
Mwamba hamiliki hata 100 mbovuKivpi
Dah hii reasoning yako Ina matege sana. Nilivyoona umeandika anaharibu nikawa natafuta hayo mkosa ya Hakim katika usemi wake...? Kama sababu unazotoa ndo hizi basi tuishie hapa.Ile issue yake ya kuandika mali kwa mama yake ili trend sana maeneo ya huku na kumuongezea followers wa kutosha.
My assumptions. Nothing more nothing less.
Ni ngumu sana mkuu