Hakimi: Nimekuja Tanzania sababu ya Eng hersi

Hakimi: Nimekuja Tanzania sababu ya Eng hersi

Watu wasahaulifu sana. Wamesahau jinsi kwa misimu zaidi ya mitatu sasa Simba imecheza mechi za ushindani mkubwa dhidi ya timu za Morocco, ikiwemo zile za Raja ambazo timu zote mbili zilibuni mbinu ya kutumiana vijembe mitandaoni kama mbinu ya kuongeza mwamko wa utalii nchini.

Watu wanasahau Simba kamtoa kigogo wa Africa Wydad hatua ya makundi msimu huu tu ulioisha ambayo kama huko Serikalini kungekuwa na watu wanaojua mbinu hasa za kukuza utalii hizi zote ni njia za kupita. Siasa imeingia, leo Yanga ndiyo wanaonekana vinara wa kukuza utalii. Ufahamu wetu wa utalii bado uko hatua ya chekechea hasa kwa kuwa siasa zimetutawala sana.

Hivi kati ya Simba na Yanga nani anaheshimika zaidi huko Morocco? Tukiweka siasa pembeni, kama tunatafuta engagement ya utalii kupitia michezo, option ipi ni bora zaidi?
Kwaio Achraf Hakimi kumtaja Eng Hersi kwako imekuwa nongwa?
 
Amelipa fadhila kwa kitu gani? Ni fadhila gani hiyo aliyofanyiwa mpaka ameamua kuja kuilipa? Hiyo fadhila alifanyiwa na nani?
Ile issue yake ya kuandika mali kwa mama yake ili trend sana maeneo ya huku na kumuongezea followers wa kutosha.

My assumptions. Nothing more nothing less.
 
Na Mungu anazidi kumbariki na kumlinda dhidi ya nyie nyoka msiokuwa na ubinadamu hata kidogo.

Imagine yule mwenzenu angefanikisha ile adhima yake ya kishetani unafikiri leo hii angeweza hata kufanya hayo yote anayoyafanya? Kuwasidia wengine wasiokuwa nacho?

Yule mwenzenu angefanikisha ule uporaji hata zile fedha sisizingeinufaisha jamii kama Hakimi anavyofanya sasa..... sana sana tu huyo mwenzenu angezitumia zile millions of euros kununulia magauni ya bei mbay, mikoba ya bei mbaya pamoja na kwenda exotic vacations akiongozana na mashoga zake... naamin kabisa asingechukua hata 100 kwenda kutoa msaada kwenye kituo cha watoto yatima.

Dunia ya kisasa imejaa dhuluma sana kwa mwanaume na nyie wanawake mnatumia sheria mbovu kandamizi kama muhuri wa kufanya dhuluma hiyo.

Achraf Hakimi ameingia kwenye vitabu vya historia na atakumbukwa siku zote kwa kutumia akili nyingi kuishinda dhuluma ambayo imewaumiza wanaume wengi.
Alikula kitu kizito
 
Watu wasahaulifu sana. Wamesahau jinsi kwa misimu zaidi ya mitatu sasa Simba imecheza mechi za ushindani mkubwa dhidi ya timu za Morocco, ikiwemo zile za Raja ambazo timu zote mbili zilibuni mbinu ya kutumiana vijembe mitandaoni kama mbinu ya kuongeza mwamko wa utalii nchini.

Watu wanasahau Simba kamtoa kigogo wa Africa Wydad hatua ya makundi msimu huu tu ulioisha ambayo kama huko Serikalini kungekuwa na watu wanaojua mbinu hasa za kukuza utalii hizi zote ni njia za kupita. Siasa imeingia, leo Yanga ndiyo wanaonekana vinara wa kukuza utalii. Ufahamu wetu wa utalii bado uko hatua ya chekechea hasa kwa kuwa siasa zimetutawala sana.

Hivi kati ya Simba na Yanga nani anaheshimika zaidi huko Morocco? Tukiweka siasa pembeni, kama tunatafuta engagement ya utalii kupitia michezo, option ipi ni bora zaidi?
[emoji23][emoji23]usiongelee history mkuu
 
Ile issue yake ya kuandika mali kwa mama yake ili trend sana maeneo ya huku na kumuongezea followers wa kutosha.

My assumptions. Nothing more nothing less.
Dah hii reasoning yako Ina matege sana. Nilivyoona umeandika anaharibu nikawa natafuta hayo mkosa ya Hakim katika usemi wake...? Kama sababu unazotoa ndo hizi basi tuishie hapa.
 
Back
Top Bottom