Ni mjinga au anataka kutufanya wafuatiliaji wa Kesi kua Wajinga? Ndilo swali nimejiuliza kwa siku kama tano zilizopita. Inawezekanaje kila Tundu Lissu anapotoa hoja zenye mashiko hatoi maamuzi palepale mpaka akaelekezwe, kwanini hajiamini?
Amepewa au kuahidiwa nini? Nasasa alitueleza kua hatatolea maamuzi jambo lile kwa siku ile bali siku yenyewe ya kuanza kusoma committal, hapa hapakunifikilisha sana. Paliponifikilisha nipale aliposema kua, Ila sijaona yeyote akisema matangazo haya ya kesi kurushwa live yanarushwa kwa shelia ipi hivyo mahakama itaamua kwa utashi wake (kwajinsi alivyo maanisha) nadhani hapo ndo alitaka kutufanya sisi wajinga.
Ikumbukwe kua mwanzoni kesi ikiwa inaanza watu wengi hususani wafuasi wachama hicho walifulika mahakamani kukawa na mivutano baina ya wafuasi hao na Jeshi La Polisi ikaonekana Lissu asiletwe mahakamani kesi iendeshwe kwa njia ya mtandao baadae mtuhumiwa akagomea, mivutano ya hapanapale mahakama ikaamua kesi iwe live na watu wengi waiangalie kupitia television na mitandao ya kijamii ili
Kuondoa msongamano wa watu mahakamani. Sasa kuhoji kua hakuna alie sema kwenye maelezo yake kua kesi inarushwa live kwa sheria ipi, nikutufanya tunaofikili tujiulize wewe ni mjinga? Au unataka kutufanya wafuatiliaji ndo wajinga?
Ila pia Lissu ametoa hoja ya msingi kua wakati unaandika ujiulize kua kwanini selikali inataka tu matangazo yasirushwe live ila wakati wakisoma committal kwa hoja kua kuna maelezo yanaonyesha utambuzi wa mashahidi, ila kwa walimo ndani ya mahakama haina shida.