MAHAKAMA ZA TANZANIA ZIKO JELANi mjinga au anataka kutufanya wafuatiliaji wa Kesi kua Wajinga? Ndilo swali nimejiuliza kwa siku kama tano zilizopita. Inawezekanaje kila Tundu Lissu anapotoa hoja zenye mashiko hatoi maamuzi palepale mpaka akaelekezwe, kwanini hajiamini? Amepewa au kuahidiwa nini? Nasasa alitueleza kua hatatolea maamuzi jambo lile kwa siku ile bali siku yenyewe ya kuanza kusoma committal, hapa hapakunifikilisha sana. Paliponifikilisha nipale aliposema kua, Ila sijaona yeyote akisema matangazo haya ya kesi kurushwa live yanarushwa kwa shelia ipi hivyo mahakama itaamua kwa utashi wake (kwajinsi alivyo maanisha) nadhani hapo ndo alitaka kutufanya sisi wajinga. Ikumbukwe kua mwanzoni kesi ikiwa inaanza watu wengi hususani wafuasi wachama hicho walifulika mahakamani kukawa na mivutano baina ya wafuasi hao na Jeshi La Polisi ikaonekana Lissu asiletwe mahakamani kesi iendeshwe kwa njia ya mtandao baadae mtuhumiwa akagomea, mivutano ya hapanapale mahakama ikaamua kesi iwe live na watu wengi waiangalie kupitia television na mitandao ya kijamii ili kuondoa msongamano wa watu mahakamani. Sasa kuhoji kua hakuna alie sema kwenye maelezo yake kua kesi inarushwa live kwa sheria ipi, nikutufanya tunaofikili tujiulize wewe ni mjinga? Au unataka kutufanya wafuatiliaji ndo wajinga? Ila pia Lissu ametoa hoja ya msingi kua wakati unaandika ujiulize kua kwanini selikali inataka tu matangazo yasirushwe live ila wakati wakisoma committal kwa hoja kua kuna maelezo yanaonyesha utambuzi wa mashahidi, ila kwa walimo ndani ya mahakama haina shida.
🤔 🤔 🤔 💭Ni mjinga au anataka kutufanya wafuatiliaji wa Kesi kua Wajinga? Ndilo swali nimejiuliza kwa siku kama tano zilizopita. Inawezekanaje kila Tundu Lissu anapotoa hoja zenye mashiko hatoi maamuzi palepale mpaka akaelekezwe, kwanini hajiamini?
Amepewa au kuahidiwa nini? Nasasa alitueleza kua hatatolea maamuzi jambo lile kwa siku ile bali siku yenyewe ya kuanza kusoma committal, hapa hapakunifikilisha sana. Paliponifikilisha nipale aliposema kua, Ila sijaona yeyote akisema matangazo haya ya kesi kurushwa live yanarushwa kwa shelia ipi hivyo mahakama itaamua kwa utashi wake (kwajinsi alivyo maanisha) nadhani hapo ndo alitaka kutufanya sisi wajinga.
Ikumbukwe kua mwanzoni kesi ikiwa inaanza watu wengi hususani wafuasi wachama hicho walifulika mahakamani kukawa na mivutano baina ya wafuasi hao na Jeshi La Polisi ikaonekana Lissu asiletwe mahakamani kesi iendeshwe kwa njia ya mtandao baadae mtuhumiwa akagomea, mivutano ya hapanapale mahakama ikaamua kesi iwe live na watu wengi waiangalie kupitia television na mitandao ya kijamii ili
Kuondoa msongamano wa watu mahakamani. Sasa kuhoji kua hakuna alie sema kwenye maelezo yake kua kesi inarushwa live kwa sheria ipi, nikutufanya tunaofikili tujiulize wewe ni mjinga? Au unataka kutufanya wafuatiliaji ndo wajinga?
Ila pia Lissu ametoa hoja ya msingi kua wakati unaandika ujiulize kua kwanini selikali inataka tu matangazo yasirushwe live ila wakati wakisoma committal kwa hoja kua kuna maelezo yanaonyesha utambuzi wa mashahidi, ila kwa walimo ndani ya mahakama haina shida.
Wewe ndio mjinga, kichwani umejaza mashudu na samadi ya nguruweNi mjinga au anataka kutufanya wafuatiliaji wa Kesi kua Wajinga? Ndilo swali nimejiuliza kwa siku kama tano zilizopita. Inawezekanaje kila Tundu Lissu anapotoa hoja zenye mashiko hatoi maamuzi palepale mpaka akaelekezwe, kwanini hajiamini?
Amepewa au kuahidiwa nini? Nasasa alitueleza kua hatatolea maamuzi jambo lile kwa siku ile bali siku yenyewe ya kuanza kusoma committal, hapa hapakunifikilisha sana. Paliponifikilisha nipale aliposema kua, Ila sijaona yeyote akisema matangazo haya ya kesi kurushwa live yanarushwa kwa shelia ipi hivyo mahakama itaamua kwa utashi wake (kwajinsi alivyo maanisha) nadhani hapo ndo alitaka kutufanya sisi wajinga.
Ikumbukwe kua mwanzoni kesi ikiwa inaanza watu wengi hususani wafuasi wachama hicho walifulika mahakamani kukawa na mivutano baina ya wafuasi hao na Jeshi La Polisi ikaonekana Lissu asiletwe mahakamani kesi iendeshwe kwa njia ya mtandao baadae mtuhumiwa akagomea, mivutano ya hapanapale mahakama ikaamua kesi iwe live na watu wengi waiangalie kupitia television na mitandao ya kijamii ili
Kuondoa msongamano wa watu mahakamani. Sasa kuhoji kua hakuna alie sema kwenye maelezo yake kua kesi inarushwa live kwa sheria ipi, nikutufanya tunaofikili tujiulize wewe ni mjinga? Au unataka kutufanya wafuatiliaji ndo wajinga?
Ila pia Lissu ametoa hoja ya msingi kua wakati unaandika ujiulize kua kwanini selikali inataka tu matangazo yasirushwe live ila wakati wakisoma committal kwa hoja kua kuna maelezo yanaonyesha utambuzi wa mashahidi, ila kwa walimo ndani ya mahakama haina shida.
Anasoma kwenye laptop mule anatumiwa vimemo palepale kwa hio hatoi maamuzi yeye km yeye yupo under controlIla sijaona yeyote akisema matangazo haya ya kesi kurushwa live yanarushwa kwa shelia ipi hivyo mahakama itaamua kwa utashi wake (kwajinsi alivyo maanisha)
Sasa ukifanya tofauti huwezi kula teuzi ya kua Jaji habadani yaan utaishia tu kulandalanda kua hakimu tu na Mwalimu wa Sheria imeisha hio, wale walimu wazuri wa Sheria wamewapa ujaji fasta shimo la panya limezibwa na mkate unategemea nini?MAHAKAMA ZA TANZANIA ZIKO JELA
MAHAKMA ZA TANZANIA ZINAPOKEA MAELEKEZO
MAHAKIMU NA MAJAJI WA TANZANIA HATOI HAKI WANASHINIKIZO LA KISIASA
Jibu hoja acha kuleta ujinga wakoWewe ndio mjinga, kichwani umejaza mashudu na samadi ya nguruwe
Good thinkingWanafikiri Watanzania wote ni wajinga kama ambavyo wengine wanaishi. Waamini kuwa mwisho wao umefika na hakuna kitu wataweza kuficha tena, muda mrefu watu tutaacha kulalamika na tunakwenda kudai haki kwa gharama yoyote itakayotakiwa.
Any decision you make in life you will be responsible for it, similarly to paying the priceNi swala la muda tu ,soon tutaanza kumwaga vimemo vyao hadharani .
Washadukuliwa kitaambo ,nyie subirini tu siyo kitambo mambo yataanza kuwa wazi kuanzia sauti email na chating zao za kwenye WhatsApp ,watu washachoka kuvumilia .
Ninaemuonea huruma ni yule Mzee wa mjini aliyegoka kuzee ,sijui heshima yake itabakije.
Hatua ya kwanza ilikuwa nikuwapa heshima , hatua ya pili ni kuwadharilisha kwa kuweka sauti na maandishi yao hadharani tu.
Una hoja ambayo wenye akili walijiuliza maswali hayo hayo ikiwemo mimi.Ni mjinga au anataka kutufanya wafuatiliaji wa Kesi kua Wajinga? Ndilo swali nimejiuliza kwa siku kama tano zilizopita. Inawezekanaje kila Tundu Lissu anapotoa hoja zenye mashiko hatoi maamuzi palepale mpaka akaelekezwe, kwanini hajiamini?
Amepewa au kuahidiwa nini? Nasasa alitueleza kua hatatolea maamuzi jambo lile kwa siku ile bali siku yenyewe ya kuanza kusoma committal, hapa hapakunifikilisha sana. Paliponifikilisha nipale aliposema kua, Ila sijaona yeyote akisema matangazo haya ya kesi kurushwa live yanarushwa kwa shelia ipi hivyo mahakama itaamua kwa utashi wake (kwajinsi alivyo maanisha) nadhani hapo ndo alitaka kutufanya sisi wajinga.
Ikumbukwe kua mwanzoni kesi ikiwa inaanza watu wengi hususani wafuasi wachama hicho walifulika mahakamani kukawa na mivutano baina ya wafuasi hao na Jeshi La Polisi ikaonekana Lissu asiletwe mahakamani kesi iendeshwe kwa njia ya mtandao baadae mtuhumiwa akagomea, mivutano ya hapanapale mahakama ikaamua kesi iwe live na watu wengi waiangalie kupitia television na mitandao ya kijamii ili
Kuondoa msongamano wa watu mahakamani. Sasa kuhoji kua hakuna alie sema kwenye maelezo yake kua kesi inarushwa live kwa sheria ipi, nikutufanya tunaofikili tujiulize wewe ni mjinga? Au unataka kutufanya wafuatiliaji ndo wajinga?
Ila pia Lissu ametoa hoja ya msingi kua wakati unaandika ujiulize kua kwanini selikali inataka tu matangazo yasirushwe live ila wakati wakisoma committal kwa hoja kua kuna maelezo yanaonyesha utambuzi wa mashahidi, ila kwa walimo ndani ya mahakama haina shida.
Sa100 ndiye mjinga alipata zero form 4!Wewe ndio mjinga, kichwani umejaza mashudu na samadi ya nguruwe
Apate division one kwani anataka kufundisha chuo kikuuSa100 ndiye mjinga alipata zero form 4!