Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mi kuna mda gheto huwa staki mtu zaidi ya mimi mwenyewe .Wewe kuwa wewe na anayekuja na aje na wa kuondoka aondoke..., Kuishi maisha kwa ajili ya watu au fulani ni kujipunja sana ukizingatia maisha ni mafupi; Be Real.... (Whatever that may Be)
Wewe... Unamjua mex cortezDon't be a Nice guy.
Wanawake wanapenda mwanaume ambaye vitendo vyake ni kama hana hofu ya kumpoteza.
Hapa Hiphop ndiyo nyumbani mkuu.Wewe... Unamjua mex cortez
""Sitaki makelele meeengiii"""Hapa Hiphop ndiyo nyumbani mkuu.
Ft Dizasta vina.""Sitaki makelele meeengiii"""
Sasa tafuta kimeumana
Weee jamaaa fanya tujuane bana...Ft Dizasta vina.
"Kibabu mteganda ananiita Lylical Yahweh."
Noma mzee π₯π₯Weee jamaaa fanya tujuane bana...
Mbona tupo same sana πππππππ
Daaah oaaa weee unajua ππππ
Pisha usikanyage waya hukoo
Msianze kusema wanaume wote mbwaπ€£Kabisa π
Na haijulikani wanataka nini π€£Ila wanawake π
Wanapenda sana competition
Msianze kusema wanaume wote mbwaπ€£
Na hawatokaa waeleweke wanataka nini.Na haijulikani wanataka nini π€£
Sidhani kama utakuwa na kipimo cha kutokuzidishaMsizidishe sasa π π