TANZIA Hakimu Godfrey Mwambapa afariki dunia

RIP home boy alikua mtani wangu wa mambo ya Simba na Yanga yaani leo nimehuzunika sana kwa kweli kwa huyu bwana mdogo daah aisee.
 
Mimi hiyo statement inanikera...sitamani kushuhudia hicho kitendo.

Nimekumiss.
Hhhaaa..mm nilishindwa kabisa kucope..nikaona nijitoe for good...sitaki sikia kitu chochote..yaan nahis nimepata brain injury kbs..
Mm naandikaga sms nafuta..nna hasira kali sana rohoni kukuhusu!hata kama umeoa aise😎
 
Huu Sasa Mkwaraaa Mbuzi!!
 
Rate ya watu kufa imeongezeka sana ila nyinyi hamtaki kukubali, sasa watu wakiwa wanapost mnashindwa kutetea kwamba hakuna corona!
Tuanze ku post na wanaozaliwa kila kukicha ili tupate uwiano Mzuri! Je wanaokufa ni wengi kuliko wanaozaliwa!?
 
Tuanze ku post na wanaozaliwa kila kukicha ili tupate uwiano Mzuri! Je wanaokufa ni wengi kuliko wanaozaliwa!?

Kufa nguvu kazi ya taifa inapotea ,kondoo mmoja akipotea mchungaji anawaacha wale 99 na kuenda kumtafuta aliyepotea ,hao wanaozaliwa ni baraka labda ungejikita kwenye child mortality rate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…