dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... mtoa mada alitoa hoja yake 2012 wewe ukaja kuikazia 2017 (miaka 5 baadaye) na mimi nakazia 2022 miaka 5 baada yako au 10 baada ya hoja kuweka mezani. Mengine watajibu wengine may be miaka 5 ijayo.Bado hujajibu swali la mtoa mada