Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Ila wale wengine wanaambiwa watajwe ili waone aibu aibu baaaasi πHivi maana ya Jela nini? Klni kutunza Wahalifu tu?.
Nategemea Gereza iwe sehem ya kurekebisha Watu .
Umemkamata na Bangi Kilo Moja, Huyu labda ilikua kwa matumizi yake binafsi, na hata kama anauza, Itampa nini zaidi ya Hela ya Mboga?.
WHO ilishagusia Umuhimu wa Bangi kwa namna yake.
Hivo Bangi ni zao ambalo halitakiwi kuhesabiwa kama Zao Haramu .
NCHI ngapi sasa zinafanya Kilimo cha Bangi kama Zao la Biashara ?.
Na Aliyekutwa na Bangi, angekamatwa kwa Matokeo ya Bangi, Kuna watu wanavuta Bangi, wanafanya mambo yao vizuri tu
Huyo anayetafuta Bangi, kisha Aende Kufanya Ujambazi/Wizi/Mauaji, huyo ashughulikiwe kwa kufanya JINAI hizo.
Ni Ujinga, kukoswa Busara, Kukoswa Akili ,kumhukumu Mtu kifungo cha Maisha au miaka 30 kisa BANGI KILO MOJA.
Yaani Bangi kilo Moja, Mtu maisha yako yote yaishie Jela??.
Suala ambalo hata angekaa Mwaka Mmoja Jela , angetolewa akiwa Kiumbe kipya.
Huyu Hakimu anaakili kweli??.
J4 Aliyeua Mtu kwa Risasi, baadae akaachiwa, huyu kaua .
Leo Bangi ,tu Kila Moja ndio Umpe Mtu miaka 30???.
NCHI imejaa Usenge sana.
Upo Sahihi mkuu wanaionea sana SkankaUonevu wa wazi kabisa huu! Kwa nini na hawa wauza bangi wasizomewe tu kama ilivyo kwa mafisadi ili na wenyewe waone aibu?
Tutaibadilisha Hiii NCHI .Uonevu wa wazi kabisa huu! Kwa nini na hawa wauza bangi wasizomewe tu kama ilivyo kwa mafisadi ili na wenyewe waone aibu?
In all aspects alcohol is worse than ganja.Hivi maana ya Jela nini? Klni kutunza Wahalifu tu?.
Nategemea Gereza iwe sehem ya kurekebisha Watu .
Umemkamata na Bangi Kilo Moja, Huyu labda ilikua kwa matumizi yake binafsi, na hata kama anauza, Itampa nini zaidi ya Hela ya Mboga?.
WHO ilishagusia Umuhimu wa Bangi kwa namna yake.
Hivo Bangi ni zao ambalo halitakiwi kuhesabiwa kama Zao Haramu .
NCHI ngapi sasa zinafanya Kilimo cha Bangi kama Zao la Biashara ?.
Na Aliyekutwa na Bangi, angekamatwa kwa Matokeo ya Bangi, Kuna watu wanavuta Bangi, wanafanya mambo yao vizuri tu
Huyo anayetafuta Bangi, kisha Aende Kufanya Ujambazi/Wizi/Mauaji, huyo ashughulikiwe kwa kufanya JINAI hizo.
Ni Ujinga, kukoswa Busara, Kukoswa Akili ,kumhukumu Mtu kifungo cha Maisha au miaka 30 kisa BANGI KILO MOJA.
Yaani Bangi kilo Moja, Mtu maisha yako yote yaishie Jela??.
Suala ambalo hata angekaa Mwaka Mmoja Jela , angetolewa akiwa Kiumbe kipya.
Huyu Hakimu anaakili kweli??.
J4 Aliyeua Mtu kwa Risasi, baadae akaachiwa, huyu kaua .
Leo Bangi ,tu Kila Moja ndio Umpe Mtu miaka 30???.
NCHI imejaa Usenge sana.
Mkidakwa mkaenda kuphilrwa gereji mnaliaNimesikitika sana leo kijana mmoja huko mtwara kafungwa miaka 30 jera kisa kakutwa na bangi
Ni huzuni sana
Kinachouma zaid tapeli kama samia kutoka Zanzibar yuko anazungusha shanga zake kwenye ndege ya Kodi ya watanganyika
Shall be liable for imprisonment of not less than thirty yearπππSoma Kwanza SheriaView attachment 3637662
Za Uzito mdogo wengi wanaongea katika mahakama za Wilaya so wanaongea wenyewe bila wakili. Sema mahakama za wilaya huwa zinawaachia matobo mengi sana hapo akienda Rufaa high court anatemwaShall be liable for imprisonment of not less than thirty yearπππ
Hii sheria mbona kavu hivi
Hapo ni kwa aliyekutwa na kilo chini ya mia π
Ila nadhani kwenye mitigating factor labda hakua na wakili
Ni kwel...Za Uzito mdogo wengi wanaongea katika mahakama za Wilaya so wanaongea wenyewe bila wakili. Sema mahakama za wilaya huwa zinawaachia matobo mengi sana hapo akienda Rufaa high court anatemwa