Hakiyanani.. Nimeamini demu wangu muaminifu!!!

Demu akikukataa achana nae sio kutunga story na kusambaza namba yake ili asumbuliwe bila ya idhini yake. TCRA ifanye kazi yake!
 
Huku ni kupatwa kwa akili...

Yaani unataka kula hela za wehu wenzako mchana kweupe?
 
Niaje wazeiyaaah..
Mko Bwaxx..

EBANA SAWA :
Nyie waswahili nasikia mwasema "kosea maisha usikosee nini...." Haya bana...
Kwa kuwa Namie sitaki kabisa kuja kujuta baada ya kuingia kwa ndoa nimefanya intensive investigation kwa my future baby mama na nimejiridhisha aisee kweli she deserve to be my next pillow...

MNAJUA NIMEFANYAJE :
Kwanza nilitafuta line za simu kama nne hivi tofauti... Nikawa namtongoza kwa gia mbali mbali nazozijua mie mfano kumrushia pesa ndefu 'with no reason', kumjulia hali each and every hour, good night every day, Good morning kibao... Kumualika heavy dinner at some Hot locations in Dar es Salaam.... Na mengine meengi siwezi kuorodhesha hapa sababu hamnilipi!!!!!

Yaan kama haitoshi nimetafuta machizi wanaojidai eti ni wataalam wa kupiga sound cjui ma 'play boy' na hela ikabidi nawapa ili tu wamtokee mchumba wangu TUONE kama atalainika LAKIN WAAAPI....

Kila mbinu nikitumia WAAAPI.... Mwanamke hababaiki... Hababaiki na pesa, dinner, romantic words, Good morning, I love you wala nini kubabake.

Mimi mwenyewe nimekua nilimtongoza kwa zaidi ya miez mitatu sasa (kwa umakini mkubwa haja gundua kama ni mie) pesa kibao amekula nimeingia loss kubwa zaidi ya Tsh........... Sasa nimeinua mikono juu na kusema kuwa NIMEAMINI MANZI WANGU MUAMINIFU....

Na kama mnadhani nawapiga porojo basi bila hiyana nawadondoshea namba yake hapa (picha siweki acheni ujinga) mnaojiita wataalam wa kupiga sound na vijisenti vyenu ruksa kumchalenji MREMBO wangu.... Then mtanipa feedback....
Akikubali kula mzigo (najua Huwezi hata utumie ndumba)

0764086614

Hiyo sasa tiririkeni mazee.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Huyu wataalamu watamla.. Kuna vichwa vina sound za hatari.. Ww jilegeze tu.. Kuna watu wanatumia hadi uchawi.. Analiwa huku hajui kuwa analiwa
 
(1). Ulimkuta Bado Yuko Bikra??.

(2). Kama Wewe Umemtongoza Huyo Bint Miezi Mitatu Ndipo Akakubali. Je! Hujui Kwamba Kuna Watu Wanauwezo Wa Kumtongoza Mwanamke Ndani Ya Maisha Yao Yote Hadi Tu Pale Watakapo Kubaliwa??.

Nb: Hakuna Mwanamke Anaemkata Mwanaume Moja Kwa Moja Labda Mwanaume Mwenyewe Akate Tamaa Mapema.
 
Hayatuhusu. This is your private business. Absolutely private.
 
Mwanangu bora ungejisifua tuu sio kuweka namba! Dah ila ukikua utaacha ni utoto tuu huo!
 
Nimeshamtongoza na tumeelewana nikapige mzigo jumapili, sasa nitumie vijisenti vya guest ili nikakamilishe nisikuangushe.
 
Niaje wazeiyaaah..
Mko Bwaxx..

EBANA SAWA :
Nyie waswahili nasikia mwasema "kosea maisha usikosee nini...." Haya bana...
Kwa kuwa Namie sitaki kabisa kuja kujuta baada ya kuingia kwa ndoa nimefanya intensive investigation kwa my future baby mama na nimejiridhisha aisee kweli she deserve to be my next pillow...

MNAJUA NIMEFANYAJE :
Kwanza nilitafuta line za simu kama nne hivi tofauti... Nikawa namtongoza kwa gia mbali mbali nazozijua mie mfano kumrushia pesa ndefu 'with no reason', kumjulia hali each and every hour, good night every day, Good morning kibao... Kumualika heavy dinner at some Hot locations in Dar es Salaam.... Na mengine meengi siwezi kuorodhesha hapa sababu hamnilipi!!!!!

Yaan kama haitoshi nimetafuta machizi wanaojidai eti ni wataalam wa kupiga sound cjui ma 'play boy' na hela ikabidi nawapa ili tu wamtokee mchumba wangu TUONE kama atalainika LAKIN WAAAPI....

Kila mbinu nikitumia WAAAPI.... Mwanamke hababaiki... Hababaiki na pesa, dinner, romantic words, Good morning, I love you wala nini kubabake.

Mimi mwenyewe nimekua nilimtongoza kwa zaidi ya miez mitatu sasa (kwa umakini mkubwa haja gundua kama ni mie) pesa kibao amekula nimeingia loss kubwa zaidi ya Tsh........... Sasa nimeinua mikono juu na kusema kuwa NIMEAMINI MANZI WANGU MUAMINIFU....

Na kama mnadhani nawapiga porojo basi bila hiyana nawadondoshea namba yake hapa (picha siweki acheni ujinga) mnaojiita wataalam wa kupiga sound na vijisenti vyenu ruksa kumchalenji MREMBO wangu.... Then mtanipa feedback....
Akikubali kula mzigo (najua Huwezi hata utumie ndumba)

0764086614

Hiyo sasa tiririkeni mazee.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng

!
!
mbona hana Whatsapp?
 
Back
Top Bottom