umenena mkuu.Hadi namba ya simu kabisa???...Isije ikawa yaliyomo yamo hapa unapiga biznes kijanja!!.
Huyu wataalamu watamla.. Kuna vichwa vina sound za hatari.. Ww jilegeze tu.. Kuna watu wanatumia hadi uchawi.. Analiwa huku hajui kuwa analiwaNiaje wazeiyaaah..
Mko Bwaxx..
EBANA SAWA :
Nyie waswahili nasikia mwasema "kosea maisha usikosee nini...." Haya bana...
Kwa kuwa Namie sitaki kabisa kuja kujuta baada ya kuingia kwa ndoa nimefanya intensive investigation kwa my future baby mama na nimejiridhisha aisee kweli she deserve to be my next pillow...
MNAJUA NIMEFANYAJE :
Kwanza nilitafuta line za simu kama nne hivi tofauti... Nikawa namtongoza kwa gia mbali mbali nazozijua mie mfano kumrushia pesa ndefu 'with no reason', kumjulia hali each and every hour, good night every day, Good morning kibao... Kumualika heavy dinner at some Hot locations in Dar es Salaam.... Na mengine meengi siwezi kuorodhesha hapa sababu hamnilipi!!!!!
Yaan kama haitoshi nimetafuta machizi wanaojidai eti ni wataalam wa kupiga sound cjui ma 'play boy' na hela ikabidi nawapa ili tu wamtokee mchumba wangu TUONE kama atalainika LAKIN WAAAPI....
Kila mbinu nikitumia WAAAPI.... Mwanamke hababaiki... Hababaiki na pesa, dinner, romantic words, Good morning, I love you wala nini kubabake.
Mimi mwenyewe nimekua nilimtongoza kwa zaidi ya miez mitatu sasa (kwa umakini mkubwa haja gundua kama ni mie) pesa kibao amekula nimeingia loss kubwa zaidi ya Tsh........... Sasa nimeinua mikono juu na kusema kuwa NIMEAMINI MANZI WANGU MUAMINIFU....
Na kama mnadhani nawapiga porojo basi bila hiyana nawadondoshea namba yake hapa (picha siweki acheni ujinga) mnaojiita wataalam wa kupiga sound na vijisenti vyenu ruksa kumchalenji MREMBO wangu.... Then mtanipa feedback....
Akikubali kula mzigo (najua Huwezi hata utumie ndumba)
0764086614
Hiyo sasa tiririkeni mazee.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Kwamba mtoto Yutong, injini nyuma?Hadi namba ya simu kabisa???...Isije ikawa yaliyomo yamo hapa unapiga biznes kijanja!!.
Niaje wazeiyaaah..