Hakiyanani.. Nimeamini demu wangu muaminifu!!!



Wewe zuzu lisilo na mfano hapa Afrika, mtu anapokea pesa za mtu asiyemjua, hazirudishi kwa mtumaji anazitumia halafu unatwambia eti ni muaminifu!
 
Huyu jamaa amecheza dili na huyu demu wake (Vaileti)ili wapate hela ya kujikimu.humpati mtu wa kutuma pesa kwenye hiyo namba mkuu!ila nimeamini Magufuli kiboko,alivyoibana hela kila mtu anatafuta njia ya kumpiga tukio mwenzake.
 
WAAAPI WEWE.... NA VIBAMIA VYENU HIVO NAWAAAMBIA HIVI... DEMU WANGU HABABAIKI... JINSI MLIVOWAOGA BADALA MCHANGAMKIE NAMBA HIYO NIMEWAPA.. MNAPOTEZA MUDA KUCOMMENT HUMU..
ACHENI UBOYA.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Kama ww huna bamia weka picha tuone
 
Huyu jamaa amecheza dili na huyu demu wake (Vaileti)ili wapate hela ya kujikimu.humpati mtu wa kutuma pesa kwenye hiyo namba mkuu!.

CHEKI BOYA MWINGINE HUYU...
HIVI NGOJA NIKUULIZE KUMPIGA SAUNDI MANZI NI LAZIMA UMTUMIE PESA KABLA????
HUNA MDOMO??
ACHA UBOYA!!!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Wewe zuzu lisilo na mfano hapa Afrika, mtu anapokea pesa za mtu asiyemjua, hazirudishi kwa mtumaji anazitumia halafu unatwambia eti ni muaminifu!

NDIO HARUDISHI.... MTU HUJAMUOMBA HELA ANA KUTUMIA WALA HAKUDAI NA BAHAT NZURI UNA SHIDA ZAKO KIBAO UTAFANYA NINI??
MJINI HAPA WEWE...
ACHA UBOYA

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Utakua una matatizo kichwani, unaweka number ya mkeo public ili upate nini?, akianza kupigiwa usiku wa manane na wanaume utafurahi?, au kuna biashara nyingine inaendelea juu ya hii number mimi ndio nimemiss point hapa?
 
ni bikira? kama sio bikira utasemaje ni mwaminifu? acha ushamba, hata hao uliowatumia washamla, ulifikiri watarudi kukuambia wamekula?
 
Bila hata vipimo we jamaa ni mentally retarded, kama kweli wewe ni engineer nakushauri anza ku engineer kichwa chako kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…