Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Akiwa amefungwa na pingu?Nimeiona video yake akiogelea baharini mwamba yuko vizuri sana. Naamini aliwatandazia dozi za maana hawa maqumer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwa amefungwa na pingu?Nimeiona video yake akiogelea baharini mwamba yuko vizuri sana. Naamini aliwatandazia dozi za maana hawa maqumer
Ndio kwasababu alikuwa na uwezo wa kupanua wigo mpana😅🤣👆🏿Akiwa amefungwa na pingu?
Hawa low profilizers ni above next level kwenye kaliba zao
😂😂 Nilikua serious kufikiria Ukiwa na pingu ukileta madoido inaongeza kukubana. Lakini nashukuru umekuja Kutanua wigo uwe mpana . Sawah😂😂Ndio kwasababu alikuwa na uwezo wa kupanua wigo mpana😅🤣👆🏿
Hahaha😂😂 Nilikua serious kufikiria Ukiwa na pingu ukileta madoido inaongeza kukubana. Lakini nashukuru umekuja Kutanua wigo uwe mpana . Sawah😂😂
ndugu yangu, kwa tuliopitia sanaa za mapigano, ukishaona wamekufunga pingu tu, jua wamekupunguzia asilimia kubwa sana ya upinzani. na kama wanakujua wewe ni mjeda, jua hawatakufungua pingu ng'ooo usijewapora bunduki kwa utaalamu wako. hivyo tuomboleze tu ila sidhani kama kulikuwa na upinzani wowote.Huyu alikuwa ni mwanajeshi mstaafu tena wa rank za juu. Ni wapi ni mtu aliyekuwa amekamilika kwenye medani za kivita hasa mbinu za kujilinda self defence tactics na ndio maana hata utekwaji wake ulikuwa wa kikomandoo
Imformer
Gari mbili za kazi
'Watu' wenye silaha za moto
Pingu
Haukuwa utekwaji wa kawaida. Watekaji walikuwa wamejiandaa vilivyo kwa lolote.
Walikuwa wanajua kwa hakika aina ya mtu wanayemteka na ndio maana baada tu ya kumvamia walumvalisha pingu almaarufu kama bangili na kuondoka naye kwa haraka sana.
Kuna swali moja muhimu sana hapa kwanini waliamua kutekeleza tukio lao pale kituo cha Kibo?
Katika Mojawapo ya simulizi za dereva anasema aliiona gari ikimfukuzia kwa nyuma tangu baada ya kutoka Kituo cha mabasi Mbezi.
Madereva wazoefu huwa wanajua anayewafukuzia ama anayewafuata ama kuwafuatilia.
Rejea simulizi ya dereva wa Tundu Lissu
Dereva wa bus la Tashrif hakutoa mwanya kwa gari husika limpite.
Yaani alilibania mpaka walipofika Kituo cha Kibo na kulazimika kusimama kupakia abiria.
Hapo hapo watekaji wakaona wasifanye kisa bali wapige ambush palepale na ndio maana gari moja likapiga block nyuma na kingine mbele
Kwa hesabu za haraka walijua fika Tashrif haiokotezi abiria njiani hivyo kusimama tena popote ingekuwa majaliwa labda pengine kwa kubahatisha Bagamoyo ama Kilingeni Msata.
Na huko hawakuwa na hakika nini kingetokea ama dereva angewastukia kwa asilimia 100 na kuharibu Mipango yote!
Emergency plan B ilifanikiwa na wakaweza kuondoka naye! Inawezekana kabisa huko walikompeleka walitoshana nguvu pengine hata kabla ya mahojiano.
Kumbukeni yule ni mstaafu jeshini sio mtu wa kutishwa akatishika..Nina hakika wana walichezea vitasa
Kwa uzoefu wangu majeruhi na wahanga wa utekwaji na ugomvi, wale wote walioonesha upinzani mkubwa hasa wa kugawa dozi za vitasa na ngumi za chembe.. Walipozidiwa na watesi wao walipigwa sana vichwani kuliko sehemu nyingine za mwili.
Mnakumbuka simulizi ya Dr. Ulimboka? Naye kati ya wale watekaji wake kuna mmoja alidili naye papendicular.
Yaani kimlalomlalo ndio maana walipomzidi nguvu walimbonda sana kichwa
Kwenye mapambano ya kupigania uhai kuna myth zinasema kuwa macho hurekodi matukio na kuyahifadhi.. Je ni maana walimtoboa macho?,🥺😭
Kingine cha kuumiza sana sana ni matumizi ya tindikali... Kama ilikuwepo ya kummwagia usoni.. Maana yake ipogo ya kumwaga kwenye mwili mzima! Je siku hiyo haikuwepo ya kutosha?
Iliyokuwepo ilitumika wapi na lini?
Kuna kila dalili kwamba walipata tabu sana kumpata.Aliwapiga chenga za kutosha sana na kwakweli maandalizi ya kumteka na kukaa naye hayakuwa ya kutosha ndio maana yakatokea yote yaliyotokea na wakaona wasikae na mwili wake!
Je, hofu kubwa ilikuwa ninini?
Tuupe muda wakati utasema!
PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
View attachment 3092791
Kule Mwananyamala ile miili mingine 3 imeshaondolewa kufuta evidenceHuyu alikuwa ni mwanajeshi mstaafu tena wa rank za juu. Ni wapi ni mtu aliyekuwa amekamilika kwenye medani za kivita hasa mbinu za kujilinda self defence tactics na ndio maana hata utekwaji wake ulikuwa wa kikomandoo
Imformer
Gari mbili za kazi
'Watu' wenye silaha za moto
Pingu
Haukuwa utekwaji wa kawaida. Watekaji walikuwa wamejiandaa vilivyo kwa lolote.
Walikuwa wanajua kwa hakika aina ya mtu wanayemteka na ndio maana baada tu ya kumvamia walumvalisha pingu almaarufu kama bangili na kuondoka naye kwa haraka sana.
Kuna swali moja muhimu sana hapa kwanini waliamua kutekeleza tukio lao pale kituo cha Kibo?
Katika Mojawapo ya simulizi za dereva anasema aliiona gari ikimfukuzia kwa nyuma tangu baada ya kutoka Kituo cha mabasi Mbezi.
Madereva wazoefu huwa wanajua anayewafukuzia ama anayewafuata ama kuwafuatilia.
Rejea simulizi ya dereva wa Tundu Lissu
Dereva wa bus la Tashrif hakutoa mwanya kwa gari husika limpite.
Yaani alilibania mpaka walipofika Kituo cha Kibo na kulazimika kusimama kupakia abiria.
Hapo hapo watekaji wakaona wasifanye kisa bali wapige ambush palepale na ndio maana gari moja likapiga block nyuma na kingine mbele
Kwa hesabu za haraka walijua fika Tashrif haiokotezi abiria njiani hivyo kusimama tena popote ingekuwa majaliwa labda pengine kwa kubahatisha Bagamoyo ama Kilingeni Msata.
Na huko hawakuwa na hakika nini kingetokea ama dereva angewastukia kwa asilimia 100 na kuharibu Mipango yote!
Emergency plan B ilifanikiwa na wakaweza kuondoka naye! Inawezekana kabisa huko walikompeleka walitoshana nguvu pengine hata kabla ya mahojiano.
Kumbukeni yule ni mstaafu jeshini sio mtu wa kutishwa akatishika..Nina hakika wana walichezea vitasa
Kwa uzoefu wangu majeruhi na wahanga wa utekwaji na ugomvi, wale wote walioonesha upinzani mkubwa hasa wa kugawa dozi za vitasa na ngumi za chembe.. Walipozidiwa na watesi wao walipigwa sana vichwani kuliko sehemu nyingine za mwili.
Mnakumbuka simulizi ya Dr. Ulimboka? Naye kati ya wale watekaji wake kuna mmoja alidili naye papendicular.
Yaani kimlalomlalo ndio maana walipomzidi nguvu walimbonda sana kichwa
Kwenye mapambano ya kupigania uhai kuna myth zinasema kuwa macho hurekodi matukio na kuyahifadhi.. Je ni maana walimtoboa macho?,🥺😭
Kingine cha kuumiza sana sana ni matumizi ya tindikali... Kama ilikuwepo ya kummwagia usoni.. Maana yake ipogo ya kumwaga kwenye mwili mzima! Je siku hiyo haikuwepo ya kutosha?
Iliyokuwepo ilitumika wapi na lini?
Kuna kila dalili kwamba walipata tabu sana kumpata.Aliwapiga chenga za kutosha sana na kwakweli maandalizi ya kumteka na kukaa naye hayakuwa ya kutosha ndio maana yakatokea yote yaliyotokea na wakaona wasikae na mwili wake!
Je, hofu kubwa ilikuwa ninini?
Tuupe muda wakati utasema!
PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
View attachment 3092791
Huyu alikuwa ni mwanajeshi mstaafu tena wa rank za juu. Ni wapi ni mtu aliyekuwa amekamilika kwenye medani za kivita hasa mbinu za kujilinda self defence tactics na ndio maana hata utekwaji wake ulikuwa wa kikomandoo

Kimsingi vyombo vya Dola vilivyohusika na tukio hili wamefanya kitu kibaya Sana, Tena ni kitu kibaya sana kupita kiasi. Nashindwa kuandika maelezo mengi hapa mtandaoni, Ila tuombe Mungu tu atunusuru na dhahama nzito Sana inayokuja.Polisi imekuwa siyo sehemu salama tena
We acha tu!Mwenye clip akizikwa kijeshi atume
Tofautisha Commando na wanajeshi wa kawaida broh! Mwanajeshi wa kawaida hata polisi wanaweza kumkamata kirahisi ila Special Force ( SF/ CDO) ni shughuli pevu hasa akiamua kujitetea.Kwenye kesi ya Mbowe na wale Commandos kuna mmoja anaitwa Mhina akiwa mahakamani anasimulia polisi walivyokuwa wanamfuatilia akiwa Tabora. Yaani mtu mmoja tu anafuatwa na gari mbili land cruiser hard top zilizojaa polisi wenye bunduki.
Mwanajeshi mmoja anaweza kuwatisha mamia ya polisi tena akiwa hana hata manati.
Hata angejitetea sana kimapigano asingefanikiwa mbele ya rundo la askari wenye mafunzo na idara za juu za kiserikali.ndugu yangu, kwa tuliopitia sanaa za mapigano, ukishaona wamekufunga pingu tu, jua wamekupunguzia asilimia kubwa sana ya upinzani. na kama wanakujua wewe ni mjeda, jua hawatakufungua pingu ng'ooo usijewapora bunduki kwa utaalamu wako. hivyo tuomboleze tu ila sidhani kama kulikuwa na upinzani wowote.