Hakufa kizembe: Nina hakika kuna watu walichezea vitasa. Tena vya maana

Kwenye kesi ya Mbowe na wale Commandos kuna mmoja anaitwa Mhina akiwa mahakamani anasimulia polisi walivyokuwa wanamfuatilia akiwa Tabora. Yaani mtu mmoja tu anafuatwa na gari mbili land cruiser hard top zilizojaa polisi wenye bunduki.

Mwanajeshi mmoja anaweza kuwatisha mamia ya polisi tena akiwa hana hata manati.
 
Silioni jeshi likikaa kimya Kwa kitendo cha police kumuuwa mwenzao kikatili hiv.

Serikali umechanganyikiwa Kwa tukio hili maana haisemwi Sana lakin uhalisia ni kuwa siasa za bongo zina harufu ya udini ndani yake.

Kwa tukio hili zipo dalili za Samia kuzikosa Kura za waislam.

Tanga wanajiuliza nin akitakacho Samia kutoka kwao?

Alianza kuwaondoa Wana Tanga kwenye Baraza lake la mawazir, hiyo haikutosha sasa anaua Wana Tanga?
 
ndugu yangu, kwa tuliopitia sanaa za mapigano, ukishaona wamekufunga pingu tu, jua wamekupunguzia asilimia kubwa sana ya upinzani. na kama wanakujua wewe ni mjeda, jua hawatakufungua pingu ng'ooo usijewapora bunduki kwa utaalamu wako. hivyo tuomboleze tu ila sidhani kama kulikuwa na upinzani wowote.
 
Kule Mwananyamala ile miili mingine 3 imeshaondolewa kufuta evidence
 
Polisi imekuwa siyo sehemu salama tena
Kimsingi vyombo vya Dola vilivyohusika na tukio hili wamefanya kitu kibaya Sana, Tena ni kitu kibaya sana kupita kiasi. Nashindwa kuandika maelezo mengi hapa mtandaoni, Ila tuombe Mungu tu atunusuru na dhahama nzito Sana inayokuja.
 
Tofautisha Commando na wanajeshi wa kawaida broh! Mwanajeshi wa kawaida hata polisi wanaweza kumkamata kirahisi ila Special Force ( SF/ CDO) ni shughuli pevu hasa akiamua kujitetea.

Hao jamaa waliamua tu kuwa wapole wasilete tombwili wangebambikiwa kesi nzito ya uhaini+ ugaidi.
 
Hata angejitetea sana kimapigano asingefanikiwa mbele ya rundo la askari wenye mafunzo na idara za juu za kiserikali.
Hao wanakuzima na shoti Ili kukupunguzia nguvu na kukulegeza.
Jamani kuwa mstaafu wa jeshi haikupi guarantee ya kumudu kupiga kundi la maafisa wa kidola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…