Hakufa kizembe: Nina hakika kuna watu walichezea vitasa. Tena vya maana

M
Maneno yako yamenifikirisha sana nipo kwenye Tashrif naenda Dar.
 
Sio kwa Commandos tu, hata kwa mwanajeshi asiye Commandos iko hivyo. Polisi ni waoga mno. Mafunzo ya jeshi yote ni ya kiume kweli.
 
Alikuwa anajua kinachoenda kutokea kwa nini hakugomea kwenye gari ikazuka zogo akawatumia abiria kama ulinzi wake? Hiyo ingezusha taharuki lakin ingesaidia kiasi chake maana wananchi wote tunajua kuwa kuna vitendo vya kigaidi vinaendelea na watu wanatekwa kila siku. Nasikitika tumempoteza mwanajeshi wetu na shujaa. R.I.P
 
sio kila mwanajeshi anauwezo wa kupambana na watu zaidi ya mmoja tena nao ni wakakamavu wenye silaha.
Kwa umri wa Marehemu hakuna namna angeweza kupambana na watu ambao waliweza kumteka na kumfunga pingu gizani zaidi ya pale pale kwenye gari.

Kimedani Marehemu alipaswa kuanzisha zogo na mtiti pale pale ndani ya bus kama tayari alishausoma michezo ili apate usaidizi wa watu wanaomfahamu hasa dereva na wahudumu wa bus + raia wema wengine, ingeleta tension kubwa Kwa watekaji na hata kuabbort mission.

Ukishatekwa out of public na ukawa kwenye miliki ya watekaji gizani huko unakuwa huna ujanja tena zaidi ya kutegemea huruma ya watekaji, au uwe kwenye level ya ukomando na uwe umeshawahi kukutana na harakati za namna hiyo kimedani, ukomando pia bila practise in real business hauwezi kukufanya ukawa competent kwenye issue ngumu.

Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi Mzee wetu Marehemu, amuondelee adhabu kaburi na kumpa kauli thabiti.
 
Ukishakula pingu tena za mikono nyuma alafu ukalegezwa goti la mguu mmoja..
Kinachofuata ni umber kati za mbavu (kwa kitako cha mtutu )na vitifu vya magoti (kwenye mashavu) huna ujanja wa kujizuia hata kama una mafunzo vipi.
Ukilegea unalazwa chini kwa tumbo unakanyagwa shingoni na mbavu zinagongwa tena kidogo
Hapo damu lazima ivirie kwenye mapafu na maini inakupelekea kushindwa kuhema ndio kwa heri
 
Last month rais alikuwa anagawa nishani kwa askari wa jwtz ikulu.

Kuna jamaa alikuwa anaelezewa wasifu wake mpaka mwishoni nikasema inakuwaje huyu mtu aki asi si inakuwa balaa maana ni
Kanali,comando,
kasoma
Cuba,uk,u.s.a,russia,turkey
Mission
Congo,commoro,kibiti,shelshel, nk.

Ameshawahi kuwa
Mkufunzi wa chuo cha usalama jeshini nk
 
Jamani kama kuna dokta yeyote aliyemtibu mgonjwa mwenye MANUNDU au mapengo mapya atoe taarifa usikute alikula ndoo ya maana kutoka kwa muhanga
 
Akuna kufa kzembe kfo nkfo tu ila wamemuuwa kwa ukatili kwl ndy nch yetu ilipo fikia Mungu pokea roho ya shujaa ukampe raha na furaha ya milele RIP kamanda
 
 
Hii rank yake isiyotajwa ni rank gani? Inawezekana alikuwa special. Lakini, he was a low profile person. Walikuwa na hofu gani naye?
hapa huitaji D mbili kuelewa mada kila kitu kipo wazi,mtoa mada kampa rank kubwa marehemu kwasababu ya namna walivyomteka na kumuua hakika jamaa alisumbua ndo maana yakamkuta maukatili zaidi
 
Hao ndio wanatakiwa wawe karibu na umma
Bahati mbaya sana ccm ilishajiweka.katibu a jwtz.
 

Nimeiona video yake akiogelea baharini mwamba yuko vizuri sana. Naamini aliwatandazia dozi za maana hawa maqumer
Yeah wapiga mbizi kama yeye wana pumzi sana
Mwanajeshi mmoja anaweza kuwatisha mamia ya polisi tena akiwa hana hata manati.😁
Kweli zama hizi ufukue maiti zaidi ya 13 halafu hilo eneo lisiwe story? Watu wa eneo hilo wawe kimyaaa.📌🔨
Mbinu ziko nyingi sana ukishahisi usalama wako ni mdogo.. Unatulia kabisa na kujifanya zoba.. Kisha kiustaarabu kabisa unaomba kwenda msalani, kwakuwa ulikuwa mpole wanadanganyika na kukufungua walau mkono mmoja.. Ukitambua wazi kabisa nafasi ya kutoka salama ni finyu unaamua kufa kishujaa.. Unampelekea moto aliye karibu yako
Kule Mwananyamala ile miili mingine 3 imeshaondolewa kufuta evidence
Unaweza kukuta haipo tena🥺😭
Gari linalotoka Tanga linaanza kufika Mbezi au Tegeta?
Gari linalotoka Tanga likifika Tegeta litashusha abiria ama litapakia?
Amefanya uhaini huyo mzee jambo ambalo limepelekea kifo chake.
Uhaini gani huo? Kahukumiwa na mahakama gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…