Hakujawahi kuwa na taifa la Palestina kwenye historia yote kabla ya 1947, hawa wapalestina wanadai ardhi yao ipi ?

Halafu huu uongo niliwahi kukurekebisha.
Toka lini HIMAYA YA BYZANTINE IKAWEMO MIDDLE EAST!?
Byzantine iliwahi kuitawala sehemu ya Palestina kabla haijaporwa na himaya ya Ali Seljuk.
-Mamluk haikuwahi kuitawala Palestina na Mamluki ilikuwa chini ya utawala wa OTTOMAN empire.
Na Palestina ilikua jimbo moja wapo la tawala ya Ottoman Empire.
Na Ottoman Empire ilipovunjika ndipo ikachukuliwa kama MANDATORY STATE na UINGEREZA.
Miaka yote hiyo wayahudi walikua wakiishi pale pale Jerusalem na kuzaana na waarabu.
Na pia jiulize kwanini UK ilipoichukua Palestina toka kwa Ottoman Empire baada ya first world war iliita PALESTINE BRITISH MANDATE na sio ISRAEL BRITISH MANDATE!?
Unaweza ukatupatia hilo jibu!?

Na hapo juu tawala nyingi ulizotaja zilitawala upande wa uajemi na Uturuki ya sasa ila sio eneo la Palestina.
 
Byzantine map ndio hii na imetawala sehem kubwa ya middle east wakiwa na mji wao mkuu Constantinople kabla waislamu hawajauteka na kuuita Istanbul na kugeuza kabisa Haggia Sophia kuwa msikiti
 

Attachments

  • 15330.png
    155.8 KB · Views: 1
kwa hiyo untaka Palestine iitwe Ottoman?
 
Byzantine map ndio hii na imetawala sehem kubwa ya middle east wakiwa na mji wao mkuu Constantinople kabla waislamu hawajauteka na kuuita Istanbul na kugeuza kabisa Haggia Sophia kuwa msikiti
Umemuelewa mleta mada alichokiwasilisha in kaka!?
Ni sawa useme Byzantine ilikua Asia/middle east kama vile Ottoman empire ilivyo.
Amewasilisha vibaya.
Na haijatawala sehemu kubwa ni sehemu baadhi ya middle east.
Kwasababu hapo ni himaya ya Persia na Allepo/Syria ndio zilizopo ndani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…