matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Wakuu wakati wa Corona sikuamini uwepo wa hiyo kitu wala habari zake nilikuwa sisikilizi na Barakoa nilikuwa sivai.
Naamini hata Hayati JPM alikuwa na msimamo kama wangu.
Ulikuwa ni ugonjwa unaosambazwa kwa njia ya taarifa ya habari na sio vimelea.
Ushahidi: Habari za kimataifa na kidunia zilipohamia kwenye SMO ya Russia vijidudu hivyo vya kufikirika vilipotelea angani. Na kila juhudi ya kuvirudisha imekwama maana wakubwa wako bize kidogo na Ukraine.
Ushauri:
Jifunze kuwa na msimamo, Jifunze kufuatilia mambo kwa kina usiwe mshabiki wa habari ambazo huna hujui zimepikiwa chungu kipi.
Ni hayo tu.
Napinga hoja , Mambo ya afya na akili zako za mtaani usiyachanganye !! Mimi nipo kada ya afya Tumesoma na tumeyaona na watu walifariki !!nashauri usiongeee usichokijuaWakuu wakati wa Corona sikuamini uwepo wa hiyo kitu wala habari zake nilikuwa sisikilizi na Barakoa nilikuwa sivai.
Naamini hata Hayati JPM alikuwa na msimamo kama wangu.
Ulikuwa ni ugonjwa unaosambazwa kwa njia ya taarifa ya habari na sio vimelea.
Ushahidi: Habari za kimataifa na kidunia zilipohamia kwenye SMO ya Russia vijidudu hivyo vya kufikirika vilipotelea angani. Na kila juhudi ya kuvirudisha imekwama maana wakubwa wako bize kidogo na Ukraine.
Ushauri:
Jifunze kuwa na msimamo, Jifunze kufuatilia mambo kwa kina usiwe mshabiki wa habari ambazo huna hujui zimepikiwa chungu kipi.
Ni hayo tu.
Hapa hakuna aliyepona corana
Mungu Fundi. Wote hao fyekelea mbali.
Mkuu mbona ulipoachwa kutangazwa na ugonjwa ukafa.Napinga hoja , Mambo ya afya na akili zako za mtaani usiyachanganye !! Mimi nipo kada ya afya Tumesoma na tumeyaona na watu walifariki !!nashauri usiongeee usichokijua
Ulaya, Ameika Kusini na Kaskazini, Asia, Afrika, Australia watu walipoteza maisha kwa maelfu na wengine kuugua kwa sana halafu wewe unasema corona haikuwepo?Wakuu wakati wa Corona sikuamini uwepo wa hiyo kitu wala habari zake nilikuwa sisikilizi na Barakoa nilikuwa sivai.
Naamini hata Hayati JPM alikuwa na msimamo kama wangu.
Ulikuwa ni ugonjwa unaosambazwa kwa njia ya taarifa ya habari na sio vimelea.
Ushahidi: Habari za kimataifa na kidunia zilipohamia kwenye SMO ya Russia vijidudu hivyo vya kufikirika vilipotelea angani. Na kila juhudi ya kuvirudisha imekwama maana wakubwa wako bize kidogo na Ukraine.
Ushauri:
Jifunze kuwa na msimamo, Jifunze kufuatilia mambo kwa kina usiwe mshabiki wa habari ambazo huna hujui zimepikiwa chungu kipi.
Ni hayo tu.
Hayati Magufuli alifariki kwa matatizo ya moyo, na hii shida amekuwa nayo kwa zaidi ya miaka 20. Kila nafsi itaonja umauti. Hakuna hila zozote hapo.Nafikiria kuandika Uzi kuwaunga mkono kwenye hili. This time in your support.
Hudhani niaanye hivyo ndugu yangu?
Mkuu watu wana majumba ughaibuni. Hawa wanaweza kuwa uraia pacha. Wanafanyia birthday parties New York. Mwamba alisema yeye alikuwa rais wa wanyonge. Akasema palikuwa vita ya kiuchumi. Kuwa yeye alikuwa rais kwamba alijua mengi.Hayati Magufuli alifariki kwa matatizo ya moyo, na hii shida amekuwa nayo kwa zaidi ya miaka 20. Kila nafsi itaonja umauti. Hakuna hila zozote hapo.
Daaah, udongo unameza aisee