#COVID19 Hakujawahi kuwepo kitu kinachoitwa COVID duniani. Ni uongo wa mabeberu

#COVID19 Hakujawahi kuwepo kitu kinachoitwa COVID duniani. Ni uongo wa mabeberu

Mkuu mbona ulipoachwa kutangazwa na ugonjwa ukafa.
Mbona watu walirudi mitaani kutoka karantini na hadi leo maambukizi hayakuongezeka badala yake yakaisha kabisa bila hata watu kujikinga.


Kiafya imekaaje hapo mkuu.
Kaongee huu upupu mbele ya makamo wa raisi nafikiri hata kuelewa
 
Covid -19 was a scam. Is like HIV/AIDS, Cancer Treatments & Democracy. Stay tunned, with time everything will be revealed.
 
Mkuu watu wana majumba ughaibuni. Hawa wanaweza kuwa uraia pacha. Wanafanyia birthday parties New York. Mwamba alisema yeye alikuwa rais wa wanyonge. Akasema palikuwa vita ya kiuchumi. Kuwa yeye alikuwa rais kwamba alijua mengi.

Akasema alikuwa kajitoa kupigana na mafisadi haya bila kujali litakalo mtokea.

Hawa wanaolamba asali hivi wasingemwacha kuwatishia usalama wao na mali zao.

Mwamba asingeweza kitoboa. Ninaona Pana hoja hapa. Tuwaombe mods subira tupandishe uzi kuomba kistaraabu kufukua kaburi.

Hatukuwemo, ila kwenye hili tutawaunga mkono. Kuna harufu kali ya panya mahali.
Ni dhahiri Magufuli hakuwa kibaraka wa mabeberu na aliwanyoosha sana mabeberu na vibaraka wao.
 
Ni dhahiri Magufuli hakuwa kibaraka wa mabeberu na aliwanyoosha sana mabeberu na vibaraka wao.

Ninakubaliana nawe kwenye hili. Pamoja na makando kando yake mengine kwa hili la kumwagilia nyoyo kujiridhisha kuwa hakuhujumiwa haliwezi kuwa jambo baya kwa kila mtu.
 
Back
Top Bottom