Kaongee huu upupu mbele ya makamo wa raisi nafikiri hata kuelewaMkuu mbona ulipoachwa kutangazwa na ugonjwa ukafa.
Mbona watu walirudi mitaani kutoka karantini na hadi leo maambukizi hayakuongezeka badala yake yakaisha kabisa bila hata watu kujikinga.
Kiafya imekaaje hapo mkuu.
Kwahiyo saivi covid imeenda wapi? Ewe dokta wa mchongoNapinga hoja , Mambo ya afya na akili zako za mtaani usiyachanganye !! Mimi nipo kada ya afya Tumesoma na tumeyaona na watu walifariki !!nashauri usiongeee usichokijua
Ni dhahiri Magufuli hakuwa kibaraka wa mabeberu na aliwanyoosha sana mabeberu na vibaraka wao.Mkuu watu wana majumba ughaibuni. Hawa wanaweza kuwa uraia pacha. Wanafanyia birthday parties New York. Mwamba alisema yeye alikuwa rais wa wanyonge. Akasema palikuwa vita ya kiuchumi. Kuwa yeye alikuwa rais kwamba alijua mengi.
Akasema alikuwa kajitoa kupigana na mafisadi haya bila kujali litakalo mtokea.
Hawa wanaolamba asali hivi wasingemwacha kuwatishia usalama wao na mali zao.
Mwamba asingeweza kitoboa. Ninaona Pana hoja hapa. Tuwaombe mods subira tupandishe uzi kuomba kistaraabu kufukua kaburi.
Hatukuwemo, ila kwenye hili tutawaunga mkono. Kuna harufu kali ya panya mahali.
Ni dhahiri Magufuli hakuwa kibaraka wa mabeberu na aliwanyoosha sana mabeberu na vibaraka wao.