Hakujawahi kuwepo taifa la Palestine. Pata crush course kidogo

Labda ni tatizo la elimu,sijui ni kukosa uelewa au ufahamu najua maarifa mnayo, historia ya hapo haianzii 1948, vuta picha toka enzi ya Yakoub ,na kizazi chake ,Days na kizazi chake kabla ya kutazama leo au 1948
 
Hata hao LGBTQ wenzio, watu wa upinde wenzio ambao unawaunga mkono wanakubali kuwepo kwa taifa la Palestine (Palestinian State). Taifa la israel lilianzishwa na kutangazwa May 14, 1948 juzi tu ata miaka 100 haifiki.

Hakuna nchi inaitwa Israel, wale wote ni wageni waliletwa kuja kuishi pale kama diaspora kwenye ardhi ya Palestine baadae wakatangazwa ndio kwao wakaanza kumega ardhi ya palestine na kujikumbizia, Israel ata asili ya middle East hawana ni ubabe tu wa nchi za magharibi hadi leo, na watatoka tu hakuna namna.
 
Ni "crash course", si "crush course".
 
Kwahiyo saivi
Kwahiyo saivi waachiwe ISRAEL badae Tanzania si ni yakuachiana tu
 
But the land was under Jews au Arabs? what we know Arabs walihamishiwa Jordan
 
But the land was under Jews au Arabs? what we know Arabs walihamishiwa Jordan
Jews were a minority.

When zionists migrated to Palestine, they connived to do an ethnic cleansing of arabs majority. Jence they perpetrated what is famously known as Nakba, which was the leaving of more than 750000 arab inhabitants.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…