Hakukuwa na sababu ya Profesa Mkenda kuzungumza aliyoyazungumza hadharani. Kiongozi ni kuwa na Kifua na Uvumilivu

Ujumbe hapo ni kwamba Waziri hana imani na rais pia, kamshitaki kwa wananchi. Siku mambo yakiharibika wananchi wajue kuwa waziri hakuwa hata na access na rais.

Huelewi wapi?
Mkenda anamdharau Samia toka amtukane hadharani alipokuwa waziri wa kilimo!!
Museveni alilalamika kwa Samia kwenye mkutano kuhusu sukari ya Uganda Kukataliwa kuingia Tanzania ndipo mama alitoa maneno makali kwa waziri wa kilimo hadharani!!
Mkenda akahamishiwa wizara ya elimu!
Hata hivyo ana bahati kuwa kwenye cabinet mpaka sasa!
 

..nashauri ukasikilize hotuba ya Prof.Mkenda.

..Prof.Mkenda kamsifia Raisi katika hotuba nzima nyinyi mnasema kamshutumu!?

..Prof.Mkenda kasema huko mitaani anasifiwa kwa maamuzi ambayo Raisi ndio ameyafanya.

..Ninachokiona hapa ni nguvu ya social media kuupotosha umma.
 
Umeandika kwa kujikomba huku ukibubujikwa na machozi ya upashkuna
 
Kwani mawaziri wote wamepitia kwa wananchi? Hujui wengine waliteuliwa ubunge na Rais na kisha ndio wakateuliwa uwaziri.
Kwani Rais hakuchaguliwa na wananchi.Rais ndiyo wananchi wenyewe tumempa dhamana na kazi itaendelea hadi 2030
 
Kwahiyo wenye vifua vyembamba ,virefu,vifupi ama vipana wepi walio na siri,vile vile siri mnamfichia nani au wenyekutekeleza matakwa ya kuwahujumu wa Tanzania na Taifa?
 
Kupotosheje?
 
Kwahiyo wenye vifua vyembamba ,virefu,vifupi ama vipana wepi walio na siri,vile vile siri mnamfichia nani au wenyekutekeleza matakwa ya kuwahujumu wa Tanzania na Taifa?
Ungekuwa umewahi kuwa kiongozi wa ngazi yoyote ile ungeelewa hiki nilicho kiandika hapa
 

Andishi limejaa uchawa tu, eti mama mama .... so what?
 
Wewe Jamaa ni Mpumbavu Sana tu, Yaani katika Wajinga Wewe ndio umeshika Mpini, Unataka kutuambia kitu Gani? Wewe na Professor Mkenda Nani Mwenye Akili Zaidi? Chawa JUNYA Mkubwa weeee+ Ndigiri
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…