Hakukuwa na sababu ya Profesa Mkenda kuzungumza aliyoyazungumza hadharani. Kiongozi ni kuwa na Kifua na Uvumilivu

Yesu Kristo alitafuta patano na Simon Petro (Yohana 21: 15-25) kwa kumjengea imani zaidi (Chunga Kondoo wangu !) licha ya SP kumkana mara tatu. Huo ndio uongozi au good governance.

Una hoja nzuri hasa kwa sababu ya rejea uliyotumia mkuu!

Tafadhali fafanua zaidi nataka kuongezea Maarifa, nimependa hiyo rejea yako Mkuu!
 
Sasa kama unakataa, hapa unatueleza kitu Gani...!?

Mimi nakumbuka enzi ya Maghufuri nadhani alikua anawasiliana Moja Kwa Moja mpaka na Wakuu wa Wilaya.
Hata RAIS Samia hufanya hivyo. Kumbuka Hotuba Moja amewahi kueleza namna Mheshimiwa Waziri wa Fedha anavyompigia Simu hadi Usiku kumueleza baadhi ya Mambo ambayo anahisi yangefanyika. Hii ni katika kuonyesha kuwa waziri anaweza kupiga simu kwa Rais na Mama akapokea simu na kusikiliza
 
Unataka afichefiche ili iweje? Yaani nyinyi chawa mnaingia Ikulu mtakavyo halafu mawaziri wanazuiwa! hii nchi ni ya kibwege sana!
 
Tulia upewe ukweli ..........tatizo watu wa dawa ya MBA (kijani) hampendi ukweli..........sasa unafikiri yule prof mzima anaanza wapi kuteta .......hizo sio issue zake ...........
 
Unataka afichefiche ili iweje? Yaani nyinyi chawa mnaingia Ikulu mtakavyo halafu mawaziri wanazuiwa! hii nchi ni ya kibwege sana!
Ungeacha akili kubwa zijadili hoja. Wewe endelea na Mambo ya Sacco's yenu ambayo kwa sasa imepoteza kabisa Muelekeo
 
Tulia upewe ukweli ..........tatizo watu wa dawa ya MBA (kijani) hampendi ukweli..........sasa unafikiri yule prof mzima anaanza wapi kuteta .......hizo sio issue zake ...........
Kila kitu kina utaratibu wake ambao hata Mheshimiwa waziri anaufahamu. Lakini fahamu ya Kuwa waziri ana njia nyingi sana za kuwasiliana moja kwa moja na Mheshimiwa Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…