Hakuna aliyewahi kumpenda mtu mbabe, muaji, muonezi, mbaguzi, mfitini n.k hata kama huwa anakupa hela

Hakuna aliyewahi kumpenda mtu mbabe, muaji, muonezi, mbaguzi, mfitini n.k hata kama huwa anakupa hela

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Kwa hulka ya mwanadamu alivyo huwa hampendi mtu Muuaji, mbabe, mtesaji, muonezi, mchonganishi, mbaguzi, mfitinishi, hata kama anakupa hela kiasi gani, watakuchukia tu.

Hata ukijilazimisha kuwachekesha vipi, watakupa tabasamu la uongo lakini miyooni mwao hawakupendi, mapenzi yao yote watampa yule unayemzulumu, unayemtesa, unayemnyanyasa,unayemfitinisha na familia yake na kumfanyia mambo mabaya yanayoonekana na yasiyoonekana.

Huu ni mfano halisi wa CCM dhidi ya Chadema kwa yote mabaya wanayofanyiwa Chadema lakini kwanza watu ndiyo wanazidi kuipenda na kuichukia CCM.
 
Kwa hulka ya mwanadamu alivyo huwa hampendi mtu Muuaji,mbabe,mtesaji,muonezi,mchonganishi,mbaguzi,mfitinishi,hata kama anakupa hera kiasi gani, watakuchukia tu,
Hata ukijilazimisha kuwachekesha vipi, watakupa tabasamu la uongo lakini miyooni mwao hawakupendi, mapenzi yao yote watampa yule unayemzulumu,unayemtesa,unayemnyanyasa,unayemfitinisha na familia yake na kumfanyia mambo mabaya yanayoonekana na yasiyoonekana
Huu ni mfano halisi wa CCM dhidi ya Chadema kwa yote mabaya wanayofanyiwa Chadema lakini kwanza watu ndiyo wanazidi kuipenda na kuichukia CCM
Ni kweli hata kwenye ndoa......kuna watu wanabakia kusema, Yule mwanamke alikuwa anapewa kila kitu lakini ameacha ndoa.

Mtu muuaji, mbagizi, mdini, mtekaji havumiliki hata kama anakupa chai maziwa kila siku.
 
Back
Top Bottom