Kwa hulka ya mwanadamu alivyo huwa hampendi mtu Muuaji,mbabe,mtesaji,muonezi,mchonganishi,mbaguzi,mfitinishi,hata kama anakupa hera kiasi gani, watakuchukia tu,
Hata ukijilazimisha kuwachekesha vipi, watakupa tabasamu la uongo lakini miyooni mwao hawakupendi, mapenzi yao yote watampa yule unayemzulumu,unayemtesa,unayemnyanyasa,unayemfitinisha na familia yake na kumfanyia mambo mabaya yanayoonekana na yasiyoonekana
Huu ni mfano halisi wa CCM dhidi ya Chadema kwa yote mabaya wanayofanyiwa Chadema lakini kwanza watu ndiyo wanazidi kuipenda na kuichukia CCM