Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Sema wewe ndio hujawahi kuona uzi wake

Enzi zile yuko kwenye penzi zito,mahaba mahabani alikuwa kila mwaka anabandika uzi wa kumpongeza mpenzi wake kutimiza miaka fulani
Siku akipewa miuno feni ataweka uzi wa kusifia mpenzi wake na vingereza vyao vya hapa na pale 🤣

Mapenzi haya dadeq! 😂

Kimsingi Smart911 tushaona sana nyuzi zake za kutosha
Nadhani mtoa mada amepata muongozo
 
Kama ni TALL, DARK and HANDSOME ntaangaliaa uwezekano wa KUJIWEKA jamanii, mnisamehe mimi [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Ma-TALL ni wachachee tutabanana tu humo humo kwa kweli [emoji85]
Ntakubondaaaa wizooooo mfyuuuuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko mnaona raha wenzenu wakiuwawa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wafupi kwa gubu ni shida, nani tena huyo anataka kuwaua mashangazi?
 
Sana’aaaaa we kikubwa shikilia hapo hapo usiachie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222]
Maneno haya natamani kuyasikia kutoka kwako mrembo mwenye sauti mwanana na body la uchokozi... live live nikiwa nimekushikilia... "Ooh! Hohehahe, shikilia hapohapo usiachie" (in Wema sepetu's/Diva's voice) 😌😌🤗🤗🤗😅👍🏾
 
Hivi kwanini mtu ananilazimisha niwe MBABA akati mie ni SHANGAZI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu wamerogwaa tunalazimishana jinsia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi ni SHANGAZIII full stop, kama mtu hataki anye boga. [emoji7]
Wizooooo ukisemaa, nani anapingaaa???
Imepitaaa hiyooooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji28][emoji28] jf kujua kuwa huyu ni Me au Ke ni kazi sanaa . Watu huwa wanajitoa tu muhanga .. na unapo jitoa muhanga maana umekubali kitakachotokea huko utamalizana nacho

Humu sijawahi kumuamini mtu unaweza ukasema hili dume kumbe sagaji liloshindikana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikubwa kila mtu abaki na ukweli wake uliojificha
 
Humu sijawahi kumuamini mtu unaweza ukasema hili dume kumbe sagaji liloshindikana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikubwa kila mtu abaki na ukweli wake uliojificha
😅😅 unaamini vipi fake ID yaaani fake kila kitu
 
Back
Top Bottom