Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Humu sijawahi kumuamini mtu unaweza ukasema hili dume kumbe sagaji liloshindikana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikubwa kila mtu abaki na ukweli wake uliojificha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnanivunjaaa mbavuu bhanaaa, khaaaaah
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] makubwaaaa mbona kantri kila mtu anataka kumchukulia chombo chake humu??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf kibokooooo
 
[emoji28][emoji28] unaamini vipi fake ID yaaani fake kila kitu

Ndo hapo sasa?? Mtu jina fake, avatar fake afu kirahisi nikuamini thubutuuuu!!!

Afu wanaojifanya vidume humu ndio wasagaji wakubwa wanashinda piem kututongoza shenzy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] makubwaaaa mbona kantri kila mtu anataka kumchukulia chombo chake humu??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf kibokooooo
Hebu njoo P.M nikupe kashata za nazi ๐Ÿค”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ