Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Hahahaha,

Nimeanza kwa kucheka kwa maana Smart911 is among the strangest members humu JF.

Mzee wa:
"Ngoja waje kukupa muongozo"
"binadamu wa siku hizi ni wabishi sana"
"Natumaini mtoa mada ulipata muongozo"
"cc:mahondaw"

Jamaa wala hanaga cha kuongea zaidi ya hizi kauli. Daah!
Mzee wa ainasikitisha sana
 
Sema wewe ndio hujawahi kuona uzi wake

Enzi zile yuko kwenye penzi zito,mahaba mahabani alikuwa kila mwaka anabandika uzi wa kumpongeza mpenzi wake kutimiza miaka fulani
Siku akipewa miuno feni ataweka uzi wa kusifia mpenzi wake na vingereza vyao vya hapa na pale 🤣

Mapenzi haya dadeq! 😂

Kimsingi Smart911 tushaona sana nyuzi zake za kutosha
Hahahahaha
Cc @..
 
Hahahaha,

Nimeanza kwa kucheka kwa maana Smart911 is among the strangest members humu JF.

Mzee wa:
"Ngoja waje kukupa muongozo"
"binadamu wa siku hizi ni wabishi sana"
"Natumaini mtoa mada ulipata muongozo"
"cc:mahondaw"

Jamaa wala hanaga cha kuongea zaidi ya hizi kauli. Daah!

Natumae mtoa mada umepata muongozo
 
Sema wewe ndio hujawahi kuona uzi wake

Enzi zile yuko kwenye penzi zito,mahaba mahabani alikuwa kila mwaka anabandika uzi wa kumpongeza mpenzi wake kutimiza miaka fulani
Siku akipewa miuno feni ataweka uzi wa kusifia mpenzi wake na vingereza vyao vya hapa na pale [emoji1787]

Mapenzi haya dadeq! [emoji23]

Kimsingi Smart911 tushaona sana nyuzi zake za kutosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa sanaa.
 
Hahahaha,

Nimeanza kwa kucheka kwa maana Smart911 is among the strangest members humu JF.

Mzee wa:
"Ngoja waje kukupa muongozo"
"binadamu wa siku hizi ni wabishi sana"
"Natumaini mtoa mada ulipata muongozo"
"cc:mahondaw"

Jamaa wala hanaga cha kuongea zaidi ya hizi kauli. Daah!
Shida yake ni kuacha kum tag shemeji yetu Mahondaw siku hizi, sijui wameshamwagana?
 
Sema wewe ndio hujawahi kuona uzi wake

Enzi zile yuko kwenye penzi zito,mahaba mahabani alikuwa kila mwaka anabandika uzi wa kumpongeza mpenzi wake kutimiza miaka fulani
Siku akipewa miuno feni ataweka uzi wa kusifia mpenzi wake na vingereza vyao vya hapa na pale [emoji1787]

Mapenzi haya dadeq! [emoji23]

Kimsingi Smart911 tushaona sana nyuzi zake za kutosha
Mapenzi haya [emoji1787]
 
Sema wewe ndio hujawahi kuona uzi wake

Enzi zile yuko kwenye penzi zito,mahaba mahabani alikuwa kila mwaka anabandika uzi wa kumpongeza mpenzi wake kutimiza miaka fulani
Siku akipewa miuno feni ataweka uzi wa kusifia mpenzi wake na vingereza vyao vya hapa na pale 🤣

Mapenzi haya dadeq! 😂

Kimsingi Smart911 tushaona sana nyuzi zake za kutosha
Kabla wachawi hawajaingilia kati
Anyway mambo yao tuwaachie wenyewe 😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom