Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Sema wewe ndio hujawahi kuona uzi wake

Enzi zile yuko kwenye penzi zito,mahaba mahabani alikuwa kila mwaka anabandika uzi wa kumpongeza mpenzi wake kutimiza miaka fulani
Siku akipewa miuno feni ataweka uzi wa kusifia mpenzi wake na vingereza vyao vya hapa na pale [emoji1787]

Mapenzi haya dadeq! [emoji23]

Kimsingi Smart911 tushaona sana nyuzi zake za kutosha
Umetuwakilisha...
 
Sema wewe ndio hujawahi kuona uzi wake

Enzi zile yuko kwenye penzi zito,mahaba mahabani alikuwa kila mwaka anabandika uzi wa kumpongeza mpenzi wake kutimiza miaka fulani
Siku akipewa miuno feni ataweka uzi wa kusifia mpenzi wake na vingereza vyao vya hapa na pale 🤣

Mapenzi haya dadeq! 😂

Kimsingi Smart911 tushaona sana nyuzi zake za kutosha
wageni hawa
 
Back
Top Bottom