Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
38-858 SR9 C12 Pigpens CypherWe maku kumbe upo, mbona hujibu mails zangu ?
Acha ujumbe nitaukuta
Mapigo na Mwendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
38-858 SR9 C12 Pigpens CypherWe maku kumbe upo, mbona hujibu mails zangu ?
Best za kitambo jamani??? Mtoto wa mama nikimaanisha mtu anakuwa hana maamuzi yake mama ndio anakuwa final say kwa kila kitu hata ambacho kama mume inabidi aamue yeye. Yaani kama mond vile au Dev wa tamthilia ya Azam Two.Mtoto wa mama ukimaanisha nn[emoji15]
Best za kitambo jamani??? Mtoto wa mama nikimaanisha mtu anakuwa hana maamuzi yake mama ndio anakuwa final say kwa kila kitu hata ambacho kama mume inabidi aamue yeye. Yaani kama mond vile au Dev wa tamthilia ya Azam Two.
Best za kitambo jamani??? Mtoto wa mama nikimaanisha mtu anakuwa hana maamuzi yake mama ndio anakuwa final say kwa kila kitu hata ambacho kama mume inabidi aamue yeye. Yaani kama mond vile au Dev wa tamthilia ya Azam Two.
Phil unazingua, nenda na muda.38-858 SR9 C12 Pigpens Cypher
Acha ujumbe nitaukuta
Mapigo na Mwendo
Wizo anazingua balaa nimecheka 😂😂😂😂Wizoooo amewezaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari ndo hiyooooo!! Miongozi hana mbambamba ukijileta anapita na wewe 😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi K? Wee sema kweliii?
Tulia shem ananipa mwaliko wewe si ulinibania 😂😂😂😂Sawasawa kipenzi...unaupiga mwingi naona🤣🤣🤣🙌
Vi jf junior vitakuwa vingi 😂😂😂😂Soon nawapa mualiko☺️
Haha😂😂,, me nlitaka nikufanyie suprise jirani🤗Tulia shem ananipa mwaliko wewe si ulinibania 😂😂😂😂
Noma sana kijana kuamuliwa na wazazi, sema sasa kuzaa na watu tofauti tofauti nayo ni changamoto tu, watoto wanakuwa na ubini tofauti huku mama akiwa mmoja...Tulishindwana tuu mkuu nahisi nilitaka kuingia katika ndoa nikiwa bado sijajiandaa na changamoto zake ( 24 yrs) na mwenzangu hakuwa na maamuzi yake binafsi kama baba wa familia ( mtoto wa mama). So tukaishia kutoleana mahali na kupata mtoto tuu.
Haha[emoji23][emoji23],, me nlitaka nikufanyie suprise jirani[emoji847]
Hahah😂😂..tatizo humu uongo mwingi sana jirani 🤣🤣Muongo ulitaka kumficha shem [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaona mambo yasiwe mengi kaji introduce mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jirani tabia mbaya au kuna mwamba ulimpa matumaini humu [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Najua hamuwezi kuniangusha kabisa...
Hahah😂😂😂..anaogopa kuibiwaTuna kuangushaje jirani yetu?!!! Hapa harusi tunayo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema shem kanichekesha sana kakukomesha kaona unamficha ficha bhangi, kaona akulipue
Nani amekudanganya tena Leejay?🤣Hahah😂😂..tatizo humu uongo mwingi sana jirani 🤣🤣
Hahah😂😂😂....niache 🙌Nani amekudanganya tena Leejay?🤣
Mtaje hapa tumuaibishe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah[emoji23][emoji23][emoji23]....niache [emoji119]