Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna naogopaaaa, uduguu kuna sehemu nilijikwaaa hapa wakati najoin, 5yrs ago.

Isije isijee. Woiiiiiii nakufwaaaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Basi na wewe file lako litaletwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Emu nambie ulikojikwaa bas udugu nawee
 
Alipewa baba toka muda mbona, nilianzishaga uzi baba mtoto wangu katoroka na mtoto baada ya siku chache huyo Chizi akaja kuujibu kama yeye ndio baba mtoto. Basi mpaka leo watu wanaamini ndio mhusika mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sema la Intelligent businessman ndio jipya nimelisikia leo
We trudie Jambo gani ulilo sikia, kuhusu Mimi 🤣😂😂🤒
 
Oyooooooo!! Haya wambea wenzangu finally tuna mtoto wetu kweli Miongozo Jr
Awwhhhh!! [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]

Uzi ufungwe km vipi!! Haya wengine mnaobanjuka kazi iendelee tuzidi kuwapata member wengi wa baadae JF
Udrruuguuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
kuna Yule mliozaa na Chizi Maarifa akaja kumsalimia na kumuona mtoto na kuondoka nae bila ridhaa yako mamamtoto au huyo ni mwingine??? Na huyo mdogo ni kweli kuwa ni wa intelligent Bussinessman ??
Mkuu uli jaribu kugundua Nini😂🤣🤣, trudie is my friend and sister kiroho Safi🤒.
👉So watoto wake ni Kama wangu tu🤗🤒
 
Intelligent businessman kaka kumbe tuna mtoto na hatusemi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Hapana mkuu chizi maarifa sijazaa nae na wala simjui kabisa personally ni kiki tuu alitembelea na akaaminika. Baba wa mtoto wangu yupo humu ni mwingine kabisa yeye hana ushamba wa kubishana na mm hata nikimsema huwa analike tuu na kupita. Ni mtu fulani hivi ambae sio mswahili kabisa ( namchukia ila maua yake nampa).

Intelligent businessman ni kaka yangu wa hiari ingawa simfahamu hata kwa sura, so mtoto wangu mdogo hahusiki nae na baba yake hajui hata kama kuna kitu inaitwa JF
Kwani watoto wako SI Kama wangu tu, so hata wakisema mi SI shangai🤗🤒
 
Back
Top Bottom