Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna naogopaaaa, uduguu kuna sehemu nilijikwaaa hapa wakati najoin, 5yrs ago.
Isije isijee. Woiiiiiii nakufwaaaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waje humu kusoma maandiko ya wazee waoVijana waendelee kupelekeana moto, sisi tunataka jf junior’s wa kutosha [emoji23][emoji23][emoji23]
Waje humu kusoma maandiko ya wazee wao
HahahahaTatizo wabishi sana hawasikiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
71 Huduma.Poti Kuna mikundu wamevuruga kila ki2 week ngum hii ila jion nisome kitaalam🎯 uhakika
Humjui Kasie vizuri[emoji23][emoji23][emoji23] mambo ni mengi humu kaka yangu sijui bado yupo nae alikuwa anamuandikia nyuzi jamaa. Anaitwa Kasinde kama sikosei
We trudie Jambo gani ulilo sikia, kuhusu Mimi 🤣😂😂🤒Alipewa baba toka muda mbona, nilianzishaga uzi baba mtoto wangu katoroka na mtoto baada ya siku chache huyo Chizi akaja kuujibu kama yeye ndio baba mtoto. Basi mpaka leo watu wanaamini ndio mhusika mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sema la Intelligent businessman ndio jipya nimelisikia leo
Nimecheka mpaka basi 🤣🤣🤣🤣.Hey Cute Wife,
Daz911 and Leejay49 official wedding announcement. Kindly contact Unique Flower, for wedding cards👋👋🍾
We usipo Angalia uta niozesha kwa kila mwanamke jf😂🤣🤣Jibu huku unaomba hiyo kadi au tumpe Intelligent businessman
Udrruuguuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Oyooooooo!! Haya wambea wenzangu finally tuna mtoto wetu kweli Miongozo Jr
Awwhhhh!! [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Uzi ufungwe km vipi!! Haya wengine mnaobanjuka kazi iendelee tuzidi kuwapata member wengi wa baadae JF
Mkuu uli jaribu kugundua Nini😂🤣🤣, trudie is my friend and sister kiroho Safi🤒.kuna Yule mliozaa na Chizi Maarifa akaja kumsalimia na kumuona mtoto na kuondoka nae bila ridhaa yako mamamtoto au huyo ni mwingine??? Na huyo mdogo ni kweli kuwa ni wa intelligent Bussinessman ??
Kwani watoto wako SI Kama wangu tu, so hata wakisema mi SI shangai🤗🤒Intelligent businessman kaka kumbe tuna mtoto na hatusemi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hapana mkuu chizi maarifa sijazaa nae na wala simjui kabisa personally ni kiki tuu alitembelea na akaaminika. Baba wa mtoto wangu yupo humu ni mwingine kabisa yeye hana ushamba wa kubishana na mm hata nikimsema huwa analike tuu na kupita. Ni mtu fulani hivi ambae sio mswahili kabisa ( namchukia ila maua yake nampa).
Intelligent businessman ni kaka yangu wa hiari ingawa simfahamu hata kwa sura, so mtoto wangu mdogo hahusiki nae na baba yake hajui hata kama kuna kitu inaitwa JF
We si hautaki papuchi yangu..nimemuona, hataki mazoea na mtu tena[emoji28]
mshamba_hachekwi hiyo njemba bhana🤣😂🤣😂🤒
Oyaa Extrovert, National Anthem, Mzee wa kupambania, Gily Gru njooni muone njemba Ina m seduce mshamba_hachekwi 😂🤣🤣😂
wivu tu, mimi mtoto wa kike tena mtrraaamuu balaaa [emoji12]Oyaa Extrovert, National Anthem, Mzee wa kupambania, Gily Gru njooni muone njemba Ina m seduce mshamba_hachekwi [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23]
wivu truuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi katombW wewe [emoji2957]mshamba_hachekwi hiyo njemba bhana[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji855]