Hakuna ambacho SIMBA hatujafanya

Umeamkaje lakini?
 
Mbio za wazee tunajua mwisho ni kilometres 5.
Bado kidogo utopolo patawaka
 
Wewe nawe ushaingia kwenye mfumo wa wansokurupuka. Kipa aliyepigwa wiki siyo huyu. Huyu alikuwa na kadi so hakudaka siku hiyo.
Kwahiyo kumbe kipa namba moja hakuwa golini mkamuokota mkaa benchi mkajipigia tu.
 
Ni kweli hakuna kitu hamjafanya naona ubingwa wa caf mlishachukua! mara hii tutawafundisha tunauchukuaje. Yanga bingwa itawaonyesha kombe tunalichukuaje.
Kwendraaaaa😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…