Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Umeamkaje lakini?Hakuna ambacho hatujafanya, SIMBA SC ni level zingine kabisaaaaaa🔥🔥
Hii ilikuwa klabu Bingwa mtu alikula week na ilikuwa Group stage sio hatua za Vidudu na pia team iliokula hizo week yaan 7 wooote walikuwa wametimia hakupewa 🟥 mtu hata mmoja
Hahahhahhahha Aiseee acha kwanza ncheke maana Watu wamepiga boom 💥 mortuary halafu wanajisifu wameua duh kweli Mgumba kapata 🤰 basi mate mji mzima 😀😀😀View attachment 3078542