marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
HAKUNA ANAE IONA SASA ,BINADAMU TUNASHI SEKUNDE 2.645 NYUMA YA MUDA.
habari za wakati huu ...
Bila kupoteza muda nanze hapa kwenye muda,
maana harisi ya kisayansi ya muda kwa Maelezo ni utofauti wa matukio,yani unaposema ameishi miaka kumi inamanisha kwamba utofauti wa tulio la kuzaliwa na kufa ni miaka kumi ,na huo ndio muda(time) .
Concept ya muda inachangamoto nyingi sana hasa kwenye hizi nyakati tatu (wakati uliopita,sasa ,ujao) yani past future na present,
kumekuwa na hata theory ambazo zinadhihirisha kuwa mtu anaweza akasafiri kwenda past yani akatoka wakati akaenda wakati ulio pita na akakutana ma watu wa zamani ambao pengine washakufa na wameoza (newton's law of relativity) inaeleza hill jambo kinaga ubaga
Hii sita izungumzia sana kwakuwa sio mada yangu ya leo.
Turudi kwenye mada kuu ,
Kimahesabu hakuna binadamu aneweza kuona present (sasa) wote yupo nyuma.
Tunavyo viona vinafanyika, vinafanyika muda unapita ndio tunaona sisi.kwa lugha nyepes tupo past .
Kwanini;
Wote tunajua kwamba kila kinachotekea yani kuona,kugusa,kusikia kuhisi na vingine vyote vinaratibiwa na ubongo. na huo ubongo hutegemea kuletewa taarifa na viungo vya fahamu mfamo ngozi na mcho.
Ubongo unapo pata taarifa kutoka kwenye viungo vya fahamu hisubiri mpaka taarifa iwe kamiri ndipo uanze kuichakata na kuitolea maamuzi
Kwa makadirio ubongo hutumia muda wa 80 milliseconds katika uchataji wa taarifa kutoka njee ya mwili,
muda huu waweza kuwa mdogo sana na kwa hali ya kawaida ya kibinadamu huwezi kuona utofauti wa mambo ambayo yamepishana kiasi cha muda huo ,utaona vyote yamefanyika kwa wakati sawa lakini kimsingi yamepishana .
Kwamatiki hyo kila tunacho kuona huwa kimetuacha na kinakuwa kimefanyika 80 milliseconds zilizopita toka kifanyike na tunachoona sisi ni past!.
Lakini pia umbali wa tukio pia huchangia binadamu kuishi nyuma ya mida,
Kabla ya taarifa kufika kwenye ubongo husafirishwa kwa njia ya kipekee ya charge za umeme zinazo itwa impulse ,hizi hukumbia kwa kasi ya 250m per hour sasa basi ikitokea ukaguswa puani na kwa wakati huo huo ukaguswa kwenye kidole cha mguu.
Ni dhahiri taarifa kutoka puani mpaka kwenye ubongo zitwahi kuliko zile za kutoka kidoleni.
kwasababu umbali utakao safiri impulse zilizo beba taarifa kutoka puani ni tofauti na taarifa za kidoleni Zitakuwa zime safiri umbali mrefu zaidi kuliko zile za taarifa za pua
kwa maana hyo hapo.kuna upishano wa muda na kuchelewa kwa kwa taarifa
Lakini pia kwa concept hii ni dhahiri watu warefu wako past zaidi ya watu wa fupi Kwani umbali kutoka miguuni mwa watu warefu ni mkubwa zaidi kuliko ule wa watu wafupi kwa maana hyo wa hutumia mda mwingi kwenye kufika kwa taarifa .
Ikumbukwe pia kuna kucherewa kwa muda kutoka na kusafiri kwa mwanga
Kama inavyo fahika katika kila jambo tunalo liona huwa tunaona kwasababu ya mwanga(light)
Lakini pia mwanga husafiri na kasi yake kutoka kwenye kitu husika mpaka kufika kwenye mboni zetu kwa maana hyo basi mwanga huchangia kwenye kuchelewa kwa taarifa na kusababisha watu kuishi kwenye nyakati zilizopita na kushindwa kuiona "sasa"
Chukulia mfano unaangalia jari ya gari inayotokea mita 100 kutoka ulipo na kasi ya mwanga ambao unakuletea wewe taarifa hizi ni 300000000 m/s(imekadiriwa) hivyo basi taarifa hyo inatumia 1/3000000 seconds kukufikia hvyo tayari unakuwa nyuma ya muda wa tukio husika .
Mahesabu ya fisikia yana toa jumla ya muda ambao binadamu yupo nyuma kama vichocheo vyote vitakuwa vime husika kuchewesha taarifa yani mwendo wa mwanga kutoka sehemu husika ,muda wa uchakataji taarifa kusafiri kwa impulses, kuna jumla ya sekunde 2.645 binadamu anachelewa kuona tukio .
Hivyo ndio kusema bindamu tupo nyuma na tunaona sekude 2.645 baada ya jambo kufanyika
Imeandikwa na kingo SR
Sent using Jamii Forums mobile app