Mkuu hongera kwa maada hii lakini naomba nikupinge kidogo ila kwa facts..
Una habari kuwa ubongo wetu unaoperate in future time na sio past one..?
Ni kwamba tukio lolote linalotokea ni kweli ufahamu wako unagundua baada ya tukio kufanyika ..
kwa mfano kila unapotupia jicho upande flani unajikuta kuna delay ya sekunde flani ndo unapata ufahamu kuwa kile ni kitu flani.
Hiyo yote ni kwa sababu ya process nzima ya concious mind..
Mind you kuwa interpretation ya taarifa zozote huwa zinafanywa na subconcious mind na kisha concious mind kupewa interpreted news na kisha kuiprocess kwako..
lakini kuna namna ambapo unaweza ukaishunt subconcious mind iwe inafanya interpretation katika molecular level kwenye cognitive center yako moja kwa moja bila kuifahmisha concious mind yako..
kuna watu wanasense vitu in subconcious form na wengine wanasense vitu katika concious from na huo ndo utofauti unapokuja ..
Ndo mana mkiwa kwenye umati wa watu na most of the people wanaomonitor wengine huwa wapo level zingine kabisa katika kufanya tambuzi za kila tukio litakalo tokea..
Hujawahi kuona mtu anapokuwa na nia mbaya na mtu flani au kundi flani ila kabla hajafanya lile jambo gafla anajikuta kashakamatwa mkono na wahusika kisha wanampeleka chemba wanaanza kumuliza maswali na kugundua kuwa baada ya dk chache yule mtu angenda kutupia bomu au kitu cha hatari maeneo yale....
( hapa inategemea na wahusika kama wamekuwa trained vizuri namna ya kusense future)
Mkuu naomba uuzoeshe ubongo wako kufanya interpretation za moja kwa moja toka subconcious mind ,utakuwa ni mtu wa kupredict the future in any upheld seconds..
sehemu ya mwili wako iko connected moja kwa moja na subconcios recognition centre,
Kabla mwili wako haujagusana na kitu tayari subconcious mind huwa inajua tayari..
Naomba uende shule wanazofundishwa vipofu kutambua kitu
Tena wale wanaona zaidi yako wew kwa taarifa tu na hao most serikali zinawatumia kwenye taasis maalumu ..
Sio wote bila wachache tena dont play with vipofu mkuu ni hatare sana..
ukikuta kipofu alietreniwa vizuri huwa hata hashiki fimbo kama tunaowaona..
anapewa miwani mieusi tu halafu anatinga na suti yake kisha anaingia kitaas..
Ukishaifungua subconcious mind ianze kutafsiri moja kwa moja kwako utakuwa mtu hatare sana .
Una habari kuwa jaribu kufanya zoezi dogo sana fumbo macho halafu zima taa zote chumbani anza kutembea tembea ndani.utagundua kuwa kabla hujagusa ukuta tayari utakuwa ushapata idea kuwa kuna kitu hapa mbele ..
yani kabla hujagusa kitu tayari ushapata idea kuwa kuna kitu hapa mbele...
Ila kama unaishi ishi tu kwa kuizoelesha concious mind kuwa first source ya utambuzi wote utakuwa unapata taarifa zote in the past zaidi..
Even special Espionage wanafundishwa namna ya kuraise utambuzi huu...
japo.sio wote wanaweza wakaraise hiyo kitu..
N.B..Try to consider subconcious interpretation in any thing ,you will walk in the future in every aspect of your present...
Sent using
Jamii Forums mobile app