HAKUNA ANAE IONA SASA ,BINADAMU TUNASHI SEKUNDE 2.645 NYUMA YA MUDA.

Nashkuru kwa soma hadhimu mkuu watanzania ifike mahala tuwe tunapingana kwa hoja na si excuses kama hao wa spelling nimekuelewa sana mkuu na nimejifunza jambo kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisaidie Jibu la hili swali!..
Chukulia kila kitu constant , Mtu Mrefu na Mtu mfupi wakiwekwa uwanjani wakimbie inakuaje Mtu Mrefu atawahi kufika zaidi ya Mtu mfupi ikiwa umesema impulse za Mtu Mfupi zinawahi kupeleka taarifa kuliko za Mtu Mrefu!?.
Sawa .ipo hivi kuna mambo ambayo yanafanyika nje ya mwili na ambayo yanafanyika ndani ya mwili

Tunapozungumzia nerve impulses kusafiri ni kitendo kinachotokea ndani ya mwili,
Pia linapo kuja suala la ubongo kitafasiri data ni jambo la ndani ya mwili ,,yani kwa ujumla hoja zote ni za ndani ya mwili ....na hzo zote nilizotoa huathiliwa upande hasi na kimo cha binadamu

Lakini inapokuja suala la kukimbia uwanja wa mpira ni tukio ambalo halipo constant kuwa mturefu au mfupi atashinda hutegemea mazoezi ,pumzi na frexybility ya watu husika

Lakini kikubwa ni kuwa hili suala halifanyiki ndani ya mwili....
Endapo tuta assume wote watakimbia kwa hatua sawa na muda sawa mrefu atabebwa na ukubwa wa hatua zake lakini hii haimfanyi kuwa mbele ya muda.

Atashinda mbio lakini bado ukweli wa kuwa nyumba ya muda kutoka na hija nilizotoa utabaki pale pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye factors zinazoaffect transmissions of nerve impulse hakuna factor ya urefu na ifupi kwa binadamu..

kuna factor ambazo nerve impulse ina depend na sio urefu au ufup wa mtu..

consider about Myelin sheath ,surface area,axonal dimeter pamoja na temperature,hizo ndo main factors ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu zamani nlikua nikifumba macho na kusogeza kiganja karibu na paji la uso nahisi kama paji linavuta hivi, kiachiria kuna kitu karibu kiguse paji la uso baada ya kusoma maelezo yako nimejaribu hali hiyo haipo tena

namna gani mtu anaweza rudisha hali hii?
 
Ngoja nikupe point kwanini impulse traveling inaathiriwa na urefu na ufupi nilitoa mfano hapo juu chukulia moto unaunguza pua.

Ile external effector ambayo ni moto taarifa zake Zita safirishwa kutoka puani mpaka kwenye ubongo ndio uchataji wa taarifa uanze .
Assume umbali ni 10 sm na pia speed ya impulse ni almost 250 km /h ,basi hapo kuna muda uliotumika kutoka puani mpka taarifa hizi kufika kwenye ubongo.

Sasa hamia kwenye kidole cha mguuni kinapo ungua hapa taarifa itakatisha kupitia urefu wa mtu huyo wote (yani utaanzia kwenye kidole mpaka kichwani ) ikumbukwe kuwa speed ya impulse ni ile ile ila umbali umeongezeka.

Mpaka hapa utaona utofauti uliopo kwamba ni wazi hata kama matukio haya mawili yatafanyika kwa muda sawa lakini kufika taarifa kwenye ubongo kwaajiri ya uchataji utakuwa ni tofauti.

Hapa ndipo factor ya urefu na ufupi inapoingia mtu mrefu taarifa itasafiri umbali mrefu zaidi ili kufika kwenye ubongo na kutumia mda mrefu zaidi kuliko alie mfupi ambae taarifa husafiri kwa umbali mfupi kulingana na kimo chake kuwa kifupi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye urefu na ufupi umepuyanga mkuu

Take a look below.
The speed of a nerve impulse varies with the type of nerve impulse the nervous system is sending. Some signals such as those for muscle position, travel at speeds up to 119m/s. Nerve impulses such as pain signals travel slower at 0.61m/s. Touch signals travel at speeds of76.2m/s.
Kama speed ya touch signals ndo iyo maanaake ni kwamba ili tofauti iwepo kati ya mrefu na mfupi, Huyo MTU mrefu anatakiwa awe na urefu kuanzia 77mitres na kuendelea. MTU Huyo atatoka wapi jamani maana hata kabeba urefu huo hawana.
Hii ni sawa na kuwasha taa mbili za umeme kwa pamoja ambazo zipo umbali tofauti, taa iliyopo mbali ni sawa na mtu mrefu na taa iliyopo karibu ni sawa na mtu mfupi, hapo tutaangalia speed ya electrons 2200km/s maana umeme ni flow of electrons, Hapo taa zote zitawaka within 1second labda tofauti ya umbali uzidi speed of electron per second,
 
Chief,how do I train my subconcious mind?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hapo umiacha tena...what is sympathetic training ?

Sent using Jamii Forums mobile app
your mind is like a magnet ....it can attract whatever you feel..

kwa learners unaweza ukaanza taratibu kama ifuatavyo.

1.unaweza ukawa kila jicho linapotupa ( kila unapoangalis kit chochote )unakuwa unavuta kile kitu kwa hisia kali kutoka kwenye mind..
mfano ukiangalia chochote pale pale unakivutia hisia kali kwa kutumia mind...( njia hii itafanya ubongo uwe unainterprete kwa speed kubwa sana na badae inashift mode of operation)

2.Njia nyingine ni kuactivatr your third eye of the horus...but njia hii inahitaji meditation ya hali ya juu sana..maybe nikipata muda nitajaribu kuelezea hapa siku flani ..kuna mlolongo wa michakato hapa but it is very technically simple..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Mkuu,nasubiri muendelezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasole nelcon edition ya 12 kile kinatulika advance physics na anatomy by lichards edition ya 3 mwaka 2017 kasome hvyo vitabu ndio source

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…