Hakuna anayejali kuhusu wewe

Hakuna anayejali kuhusu wewe

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
6,514
Reaction score
15,247
Screenshot_20250128_081620_Google.jpg

Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu watakuonaje?

Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha?

Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio mwandishi mzuri?

Huwa unaogopa kujichanganya na watu kwakuwa unahisi wewe sio mzungumzaji mzuri?

Ngoja nikwambie kitu expert,jua kwamba hakuna anayejali kuhusu wewe,kila mtu ana mambo yake binafsi yanayo mshughulisha,machoni pako na mawazoni mwako unaweza hisi watu wanakufuatilia au wanazungumza kuhusu wewe ila ukweli ni kwamba,kila mtu ana dili na mambo yake

Kwahiyo acha kufikiri kwamba watu wanakufuatilia laa,acha kuwaza kwamba watu wanakuwekea kipaumbele,jibu ni hapana,kila mtu anashughulishwa na mambo yake

Kwahiyo you are in your own,fanya mambo yako na ishi vile unavyoishi maadamu humkwazi mtu,haumvunjii mtu heshima yake,ishi maisha yako

Ni hayo tu!
 
Oga shu
View attachment 3216160

Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu wanatakuonaje?

Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha?

Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio mwandishi mzuri?

Huwa unaogopa kujichanganya na watu kwakuwa unahisi wewe sio mzungumzaji mzuri?

Ngoja nikwambie kitu expert,jua kwamba hakuna anayejali kuhusu wewe,kila mtu ana mambo yake binafsi yanayo mshughulisha,machoni pako na mawazoni mwako unaweza hisi watu wanakufuatilia au wanazungumza kuhusu ila ukweli ni kwamba,kila mtu ana dili na mambo yake

Kwahiyo acha kufikiri kwamba watu wanakufuatilia laa,acha kuwaza kwamba watu wanakuwekea kipaumbele,jibu ni hapana,kila mtu anashughulishwa na mambo yake

Kwahiyo you are in your own,fanya mambo yako na ishi vile unavyoishi maadamu humkwazi mtu,haumvunjii mtu heshima yake,ishi maisha yako

Ni hayo tu!
krani sana expert! Kama hautojali tunaweza kuwasiliana Pm? I have psychological issues you can save me abi
 
View attachment 3216160

Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu watakuonaje?

Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha?

Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio mwandishi mzuri?

Huwa unaogopa kujichanganya na watu kwakuwa unahisi wewe sio mzungumzaji mzuri?

Ngoja nikwambie kitu expert,jua kwamba hakuna anayejali kuhusu wewe,kila mtu ana mambo yake binafsi yanayo mshughulisha,machoni pako na mawazoni mwako unaweza hisi watu wanakufuatilia au wanazungumza kuhusu wewe ila ukweli ni kwamba,kila mtu ana dili na mambo yake

Kwahiyo acha kufikiri kwamba watu wanakufuatilia laa,acha kuwaza kwamba watu wanakuwekea kipaumbele,jibu ni hapana,kila mtu anashughulishwa na mambo yake

Kwahiyo you are in your own,fanya mambo yako na ishi vile unavyoishi maadamu humkwazi mtu,haumvunjii mtu heshima yake,ishi maisha yako

Ni hayo tu!
This depend na jamii inao kuzunguka kuna jamii tunako nchi huku mbagala rangi tatu, watu wanakuatilia maisha yako mpaka kujua unacho kula usku.
 
Why ujichanganye na uongee kwa watu ambao hawajali kuhusu wewe?
Sijui kama nimekuelewa expert wangu,unaweza kufafanua zaidi

Ila kama unamaanisha labda kama kuna watu ambao una uwakika hawajali kuhusu wewe,wanakudharau na wanakuchukulia poa ,hapo sawa unawapotezea kwasababu hakuna unachopoteza kwa kukaa nao mbali
 
This depend na jamii inao kuzunguka kuna jamii tunako nchi huku mbagala rangi tatu, watu wanaguatilia maisha yako mpaka kijua unacho kula usku.
Yeah ni kweli watu hao wapo lkn, unadhani ukiwajali au kuwapa attention wanaweza acha kukufuatilia?

Ukiwapa kipaumbele utashindwa kufanya mambo yako,cha msingi waache waendelee na ujinga wao,wewe focus na mambo yako tu
 
Sijui kama nimekuelewa expert wangu,unaweza kufafanua zaidi

Ila kama unamaanisha labda kama kuna watu ambao una uwakika hawajali kuhusu wewe,wanakudharau na wanakuchukulia poa ,hapo sawa unawapotezea kwasababu hakuna unachopoteza kwa kukaa nao mbali
ouk
 
View attachment 3216160

Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu watakuonaje?

Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha?

Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio mwandishi mzuri?

Huwa unaogopa kujichanganya na watu kwakuwa unahisi wewe sio mzungumzaji mzuri?

Ngoja nikwambie kitu expert,jua kwamba hakuna anayejali kuhusu wewe,kila mtu ana mambo yake binafsi yanayo mshughulisha,machoni pako na mawazoni mwako unaweza hisi watu wanakufuatilia au wanazungumza kuhusu wewe ila ukweli ni kwamba,kila mtu ana dili na mambo yake

Kwahiyo acha kufikiri kwamba watu wanakufuatilia laa,acha kuwaza kwamba watu wanakuwekea kipaumbele,jibu ni hapana,kila mtu anashughulishwa na mambo yake

Kwahiyo you are in your own,fanya mambo yako na ishi vile unavyoishi maadamu humkwazi mtu,haumvunjii mtu heshima yake,ishi maisha yako

Ni hayo tu!
Kabisa watu wana perception hizo kumbe kila mtu anawaza maisha yake.
 
Yeah ni kweli watu hao wapo lkn, unadhani ukiwajali au kuwapa attention wanaweza acha kukufuatilia?

Ukiwapa kipaumbele utashindwa kufanya mambo yako,cha msingi waache waendelee na ujinga wao,wewe focus na mambo yako tu
Ukishupaza shingo wana kuroga au kukutupia majini ni lazima uishi kama wao otherwise uhame hilo eneo, utaumia bure, ukweli ni kwamba kuna watu wanafuatilia maisha ya watu hata kuliko ya kwao.
 
View attachment 3216160

Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu watakuonaje?

Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha?

Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio mwandishi mzuri?

Huwa unaogopa kujichanganya na watu kwakuwa unahisi wewe sio mzungumzaji mzuri?

Ngoja nikwambie kitu expert,jua kwamba hakuna anayejali kuhusu wewe,kila mtu ana mambo yake binafsi yanayo mshughulisha,machoni pako na mawazoni mwako unaweza hisi watu wanakufuatilia au wanazungumza kuhusu wewe ila ukweli ni kwamba,kila mtu ana dili na mambo yake

Kwahiyo acha kufikiri kwamba watu wanakufuatilia laa,acha kuwaza kwamba watu wanakuwekea kipaumbele,jibu ni hapana,kila mtu anashughulishwa na mambo yake

Kwahiyo you are in your own,fanya mambo yako na ishi vile unavyoishi maadamu humkwazi mtu,haumvunjii mtu heshima yake,ishi maisha yako

Ni hayo tu!
Chai.

Kila unalolifanya watu wanakuona na kukujadili ila ni mabingwa wa kujikausha kimyaaa.
 
Back
Top Bottom