2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Kwanza kabisa hawa wazungu wapo kimaslahi tu na unafiki wa upendo,ukienda tofauti nao watakutoa tu kwa gharama yoyote.
Leo hii na hata zamani angalia vingozi wenye msimamo mkali kwa mabeberu wanavyochukiwa na wao.
Fidel Castro alichukiwa sana.
KAZI ZAO KUU NI
Kwanza watataka utawala wa demokrasia ili wachochee wananchi wako wakuchukie ili waweke kiongozi atakae endana nao(kibaraka wa demokrasia) angalia nchi kama Urusi,China, Iran Venezuela n.k zinavyoonekana kwamba sio za kidemokrasia na katili. Yote ni kazi yao.
Watakutoa kijeshi au kijasusi ilimradi tu akae anaendana nao. Yote hayo walishajaribu China 1989,Iran(Vita vya Ghuba) Cuba, Venezuela juzi juzi kama sio Russia tungekuwa tunaongea mengine.
Libya walifanikiwa ila wakakwama kwa Assad kwa msaada wa Urusi.
Wakishindwa vyote watakupiga na vikwazo mpaka uichukie nchi yako.
Kuna viongozi walikuwa imara na thabiti kwa nchi zao lakini kwa sababu ya intelijensia kuwa duni hawakudumu na walizidiwa nao.
Afrika tulikuwa na miamba mf.
Patrice Lumumba John Joseph Magufuli. Hawa walikuwa wazalendo halisi.
Magufuli alikwepa kusafiri mara kwa mara ili asiombwe konesheni nao. Alifanya ya kuonekana kwa macho ambayo wao hawataki mwishowe hakudumu.
Wazungu hawawezi kukupa msaada wa kutengeneza barabara,madaraja au miradi mikubwa kama bwawa la kufua umeme. Watakupa misaada ambayo kwako haiwezi kuwa na tija kama msaada wa kondomu,sijui msaada wa afya ya akili kwa watoto waliopata ujauzito shuleni,au chanjo za uviko nk.
Dunia hii ukitaka usiongozwe nao au kupangiwa nao uwe na uwezo wa kiuchumi na kijeshi kama Uchina, Russia,N. Korea ili uweze kupambana nao kwa kila njama iwe ni Kijeshi,kivikwazo,kijasusi na kidemokrasia pia.
Dunia hii kuwa makini sana na mtu anaetaka mazoea na kujifanya anataka kukusaidia huyo lazma akutapeli tu.