Hakuna Beef kati ya Ali Kiba na Diamond ila kuna Beef kati ya Ali na Sallam

hivyo ndivyo mnavyojidanganya ndio maana hata Sallam interview nzima anang'ang'ania kusema kama Ali ana shida ya kusaidiwa amwambie amsaidie eboooooo kwani yeye Sallam ni nani kwenye Bongo flava?!

Wanajiona kama wao ndio wenye Hati miliki na bongo flava...hawajui kuwa ilipokuwepo toka Fella akiwa anapiga watu washawasha mitaa ya Woodstock,Cape Town.

Enzi hizo Babu Tale akijaribu kuimba na kina Madee zama hizo Sallam ni Meneja Moro United...Bongo flaba ulikuwepo na Ali Kiba alikuwepo wasiojone wao ndio GoodFather wa hii kitu.
Sio kwa POVU hilo! Hah ha ha haaa!
 
Wewe bado sijajua jinsia yako..Yaani inawezekana vipi utake Mwanaume mwenzio awe na tabia zenye kukufurahisha kwani mumeo huyo?!
wewe kama unapenda basi penda mziki wake na sio tabia zake binafsi kila mtu ana mapungufu yake..

Wewe Unaona sawa kwa kuwa kaumbwa na dharahu basi ndio afanyie figisu figisu na Sallam kwani Sallam ndio mwenye mziki wake?

na huwezi kuaminika popote nishajua unatabia ya kubadili badili mawazo siku yoyote unaweza kuhama kwa Diamond ukaenda kwa Ben Pol kisa tabia za Diamond kupenda penda wanawake zinakukera
Matusi yeshaanza!! Fans wa Alli bhana, hawana tofauti naye!!
 
Usibishane na uyo punga wa kizaramo
Mkuu nilishapanga kuachana nae mamoja lakini naogopa watu wa Haki za Binadamu wanaweza kunituhumu namnyanyapaa manake kiukweli kama ulivyosema, ana elements zoooooote za mtu anayepaswa kupuuzwa! Lakini si itakuwa unyanyapaa; au?
 
Acha viroja wewe! Kwahiyo ni Kiba Ft R. Kelly au R.Kelly Ft Kiba?
Wew hujielewi umeuliza kiba kafany collabo gani na msanii mkubwa nikaeleza r Kelly mean r Kelly ft kiba,fall ipupa,a man na wengine hivyo hata ne yo kwake wakaida
 
Ndo maana nikakuambia acha viroja... sasa mimi na wewe ni nani hajielewi hapo? Hujui hata ngoma yenyewe ni nani ft nani!!! FYI, ile collabo sio R Kelly ft hao uliowataja bali One8 Ft R Kelly. Ile ilikuwa ni Project ya Airtel ambayo waliunda hilo kundi la One8 na One8 ndiyo ilim-ft R Kelly! Sasa wewe na wenzako kila siku mnajidanganya kwamba ni collabo ya Kiba na R Kelly... yaani sawa sawa na leo Abdul Kiba au Baba Levo aulizwe ameshawahi kufanya collabo na Diamond; halafu ajibu ndiyo! Akiulizwa ngoma gani, anajibu Leka Dutigite... sasa si atakuwa mwehu!!!

Narudia swali: Hivi huyo Kiba amewahi kufanya collabo kubwa na nani hadi ionekane kuna watu waliziba collabo yake na Ne-Yo?!
 
Narudia swali:
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umemchapa kofi la kwenye macho
 
Yaani thread imekaa kimahaba tupu kwa Alikiba. Yaani Neyo aache kufanya collabo na Alikiba kisa Sallam? Yaani waandaaji wa show waliomlipa Alikiba pesa nyingi wakubali kuzima mic kisa Sallam? Kwani huyo Sallam ni nani hadi awe na power kiasi hicho? Hii thread ni nonsense!
hivi huoni salam amekaa kinafiki nafiki....afu ni kawaida ya watu wa aina ile.....
 
Ndo maana nikakuambia acha viroja... sasa mimi na wewe ni nani hajielewi hapo? Hujui hata ngoma yenyewe ni nani ft nani!!! FYI, ile collabo sio R Kelly ft hao uliowataja bali One8 Ft R Kelly. Ile ilikuwa ni Project ya Airtel ambayo waliunda hilo kundi la One8 na One8 ndiyo ilim-ft R Kelly! Sasa wewe na wenzako kila siku mnajidanganya kwamba ni collabo ya Kiba na R Kelly... yaani sawa sawa na leo Abdul Kiba au Baba Levo aulizwe ameshawahi kufanya collabo na Diamond; halafu ajibu ndiyo! Akiulizwa ngoma gani, anajibu Leka Dutigite... sasa si atakuwa mwehu!!!

Narudia swali: Hivi huyo Kiba amewahi kufanya collabo kubwa na nani hadi ionekane kuna watu waliziba collabo yake na Ne-Yo?!
Kwahiyo kipi cha kujivunia kati ya hao watu wawili ne yo na r kelly mean ww unaona ne yo ni bonge la msanii kwa wakati huo ambao anakutana na diamond hapo uneambiwa hata hiyo coraboration ne yo ndie aliyetaka kumjua diamond sasa unakuna maneno mengi
 
Back
Top Bottom