screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Siwezi kushabikia ujinga, ukizingua nahama. Kumshabikia msanii sio ndoa ya kikatoliki
Siwezi kushabikia ujinga, ukizingua nahama. Kumshabikia msanii sio ndoa ya kikatoliki. Umesikia dada?
Wewe bado sijajua jinsia yako..Yaani inawezekana vipi utake Mwanaume mwenzio awe na tabia zenye kukufurahisha kwani mumeo huyo?!
wewe kama unapenda basi penda mziki wake na sio tabia zake binafsi kila mtu ana mapungufu yake..
Wewe Unaona sawa kwa kuwa kaumbwa na dharahu basi ndio afanyie figisu figisu na Sallam kwani Sallam ndio mwenye mziki wake?
na huwezi kuaminika popote nishajua unatabia ya kubadili badili mawazo siku yoyote unaweza kuhama kwa Diamond ukaenda kwa Ben Pol kisa tabia za Diamond kupenda penda wanawake zinakukera
Siwezi kushabikia ujinga, ukizingua nahama. Kumshabikia msanii sio ndoa ya kikatoliki. Umesikia dada?