Hakuna Beef kati ya Ali Kiba na Diamond ila kuna Beef kati ya Ali na Sallam

Hakuna Beef kati ya Ali Kiba na Diamond ila kuna Beef kati ya Ali na Sallam

Siwezi kushabikia ujinga, ukizingua nahama. Kumshabikia msanii sio ndoa ya kikatoliki
Wewe bado sijajua jinsia yako..Yaani inawezekana vipi utake Mwanaume mwenzio awe na tabia zenye kukufurahisha kwani mumeo huyo?!
wewe kama unapenda basi penda mziki wake na sio tabia zake binafsi kila mtu ana mapungufu yake..

Wewe Unaona sawa kwa kuwa kaumbwa na dharahu basi ndio afanyie figisu figisu na Sallam kwani Sallam ndio mwenye mziki wake?

na huwezi kuaminika popote nishajua unatabia ya kubadili badili mawazo siku yoyote unaweza kuhama kwa Diamond ukaenda kwa Ben Pol kisa tabia za Diamond kupenda penda wanawake zinakukera

Siwezi kushabikia ujinga, ukizingua nahama. Kumshabikia msanii sio ndoa ya kikatoliki. Umesikia dada?
 
Basi kama ni hivyo huyo Salam ana nguvu kuliko mameneja wote wa muziki Afrika. Yaani meneja wa Wizkid akubali kuharibu show ya msanii wake ili amfurahishe Salam? Umeshaambiwa Team ya CB ndo ilimtoa Ali jukwaani ila bado unajadili umbea hapa.
Anyway, kwani huyo Ali hana meneja anayesimamia maslahi yake? Naye apambane kama Salam afterall ndo jukumu lake kumsimamia msanii wake in thick-n-thin.
 
Nilishsngaa sana Sallam alivyomshambulia Ali kuwa ni msanii wa surprise baada ya ile show ya ODM
 
Sasa Ally amesali/ameomba dua kabla ya show alafu tena anatishwa na uwepo wa Salam...sasa kati ya Mungu na Salam nani mkubwa....kulikuwa na sababu gani kumuomba Mungu na ili hali bado huamini kama huyo Mungu ana uwezo wa kukulinda dhidi ya adui?
 
swali zuri....Diamond hakutumika kuita mtu yoyote kwenye ile show...siku ile kulikuwa na wasanii zaidi ya 50 ambao walifanya show na Diamond alikuwa mualikwa tu na ukumbukue haikuwa show ya mtu mmoja ndio maana hakukuwa n msanii mmoja
Acha ushamba wewe! Hata kungekuwa na wasanii 1000; show kama ile lazima iwe na Featured Act... wengine wanaita Lead Act! Lead Act ndie anabeba matangazo ya show kama ilivyokuwa kwa Chris Brown & WizKid! Halafu unajitapa kujua mambo ya muziki wakati hujui kitu!
 
Acha kukurupa mkuu na punguza Jazba wapi niliposema kuwa Sallam alizima Mic?!
Sasa kumbe mapovu ya nini!!! Ndo maana hata "hoja" zako hazieleweki! Mara useme hakuna bifu kati ya Diamond na Kiba mara baadae useme Diamond anamtumia Sallam kukuza bifu! Mara Sallam ndo kaeneza uzushi kwamba kulitokea mtafaruku kati ya Kiba na Star Boy; mara tena unageuka na kukiri kwamba kulikuwa na mtafaruku kati ya Kiba na timu ya Star Boy!

We bhana una elements zote za mtu anayepaswa kupuuzwa sema ndo hivyo tena, kutokana na masuala ya haki za binadamu cku hizi mtu unaweza kujikuta tunaingia kwenye tuhuma za unyanyapaa hivi hivi ndo maana itabidi tu tukuvumilie! Na huyo Da Ummy mwenyewe anavyopenda sifa... aaaaaargh, haya bhana, twende tu hivyo hivyo! Enhee; hebu toa mchapo Cinderella mara moja!
 
Usibishane na uyo
 
Acha ushamba wewe! Hata kungekuwa na wasanii 1000; show kama ile lazima iwe na Featured Act... wengine wanaita Lead Act! Lead Act ndie anabeba matangazo ya show kama ilivyokuwa kwa Chris Brown & WizKid! Halafu unajitapa kujua mambo ya muziki wakati hujui kitu!
Ndio unataka kusema nini hapo?!Ali Kiba hakutumika kama Lead act kwenye show ya Juzi Mombasa?!
 
Basi kama ni hivyo huyo Salam ana nguvu kuliko mameneja wote wa muziki Afrika. Yaani meneja wa Wizkid akubali kuharibu show ya msanii wake ili amfurahishe Salam? Umeshaambiwa Team ya CB ndo ilimtoa Ali jukwaani ila bado unajadili umbea hapa.
Anyway, kwani huyo Ali hana meneja anayesimamia maslahi yake? Naye apambane kama Salam afterall ndo jukumu lake kumsimamia msanii wake in thick-n-thin.
Yeah Team Management ya Brown ndio walikuwa Mic hiyo kila mtu anajua ila tatizo la watanzania tunajadili matokeo badala ya kujadili Tatizo.
 
huyo mzaramo alikuwepo? ana ushahidi upi?
HV naomba nikuulize na inaonekana hujui nini maana ya entertiment,gossip,romous HV vyote vinaweza kukupa ukwel wa habari au uwongo maana yangu ni kwamba kila habari unayopata wwe huwa unamuuliza aliyekupa kwamba alikuwepo acha hoja za kitoto
 
Huyu jamaa kweli hamnazo kwa taarifa yako diamond walijuana na Neyo kupitia MTV MAMA Awards mwaka jana , baada ya mtv base kuuliza Neyo na diamond wakitumbuiza pamoja performance itakuwaje? Wabongo kibao wakaenda kwenye a/c ya Neyo ya instagram wakaanza kucomment zikawa comments kibao hadi mwenyewe Neyo akashangaa
Neyo alipofika South africa akawa anamtafuta diamond amjue vizuri ndo wakawa washkaji , kawa kawaida diamond mzee wa fursa akaitumia kuomba collabo na Neyo akamwambia nitarudi tena Africa kwenye coke studio tutafanya iyo kazi, Neyo alipofika nairobi diamond na uongozi wake wakamfuata Neyo wakafanya kazi na Neyo.
Sasa mashabiki wa Alikiba mkaa uko vijiweni mnadanganyana Sallam alienda kumzuia Neyo asifanye kazi na kiba wakati kiba mwenyewe anajua ukweli
Huyu nae kaja na porojo zake hapa
Hivi unadhani Neyo angekuwa amekubaliana kufanya kazi na alikiba nje ya coke studio kuna mtu angemzuia?
Watu wengine akili sijui mnazitumiaje
Halafu lazima utafakali katika soko LA mziki sasa hiv ne yo unaona binge LA msanii tuliza akili
 
Yeah Team Management ya Brown ndio walikuwa Mic hiyo kila mtu anajua ila tatizo la watanzania tunajadili matokeo badala ya kujadili Tatizo.
Simply ni kwa sababu tunapenda udaku na umbea. Hata magazeti tukiona heading kubwa basi ndo tumemaliza tunaanza kujadili bila kujua content ya heading. Kwenye hili hata huyo Kiba naye ameleta udaku kwa vile akijua kabisa kuwa tatizo la show yake na management yake ilijua kuwa waandaaji hawakuwa na ratiba nzuri. Sasa how comes ajenge "hisia" kwa watu kuwa show yake iliharibiwa na Salam? Kwa taarifa iloyotolewa na team ya Kiba hata kama Salam asingekuwepo mambo bado yangeharibika.
Aseme tu ukweli na sio kuzungusha lawama. Lawama hizi simply awapelekee waandaaji ambao aliingia nao mkataba. Ni shule ndogo sana hata ukiwaita wanafaunzi wa Mbeya day ambao ni watukutu watakupa jibu hili tu
 
3.Coke Studio,Nairobi
Mwaka jana Ali alikuwa Coke studio na kina Neyo kule Kenya na Neyo alikuwa yupo tayari kufanya Solo project na Ali nje ya coke studio..Sallam akulala alifunga safari usiku usiku mpaka Nairobi akaenda kumtia maneno maneno Neyo na kuvuruga mipango yote ya Ali na Neyo...mwisho wa siku Neyo akafanya Solo project na Diamond badala na Ali Kiba kama Neyo mwenyewe alivyotaka.

hapa ndipo utakapojua kuwa mameneja wa kiba ni wapuuuziii,sio creative hawafai wanampotosha na hato kaa kamwe kumshinda diamond kwa hayo mameneja wake wasio na mbele wala nyuma. na wewe kama shabiki wa kiba kabisa unajiachia humu eti unasema "sallam kavuruga mipango yote" do you the meaning of opportunity in business wewe??
huyo kiba na mameneja wake wote hawajui kutumia chances wanazopata wakae wajifunze kutoka kwa mameneja wa diamond na diamond...............mtabaki kukaaa kulalamika mpaka kesho na kumpa visifa vya kipuuzi yan leo rayvanny anaingia kwenye tuzo kubwa za mtv kiba hata kunusa hajawahi kweliiiiiiii???afu mnamuita msaniii mkubwaaaa???
 
Back
Top Bottom