Hakuna Beef kati ya Ali Kiba na Diamond ila kuna Beef kati ya Ali na Sallam

Sio kwa POVU hilo! Hah ha ha haaa!
 
Matusi yeshaanza!! Fans wa Alli bhana, hawana tofauti naye!!
 
Usibishane na uyo punga wa kizaramo
Mkuu nilishapanga kuachana nae mamoja lakini naogopa watu wa Haki za Binadamu wanaweza kunituhumu namnyanyapaa manake kiukweli kama ulivyosema, ana elements zoooooote za mtu anayepaswa kupuuzwa! Lakini si itakuwa unyanyapaa; au?
 
Acha viroja wewe! Kwahiyo ni Kiba Ft R. Kelly au R.Kelly Ft Kiba?
Wew hujielewi umeuliza kiba kafany collabo gani na msanii mkubwa nikaeleza r Kelly mean r Kelly ft kiba,fall ipupa,a man na wengine hivyo hata ne yo kwake wakaida
 
Wew hujielewi umeuliza kiba kafany collabo gani na msanii mkubwa nikaeleza r Kelly mean r Kelly ft kiba,fall ipupa,a man na wengine hivyo hata ne yo kwake wakaida
Ndo maana nikakuambia acha viroja... sasa mimi na wewe ni nani hajielewi hapo? Hujui hata ngoma yenyewe ni nani ft nani!!! FYI, ile collabo sio R Kelly ft hao uliowataja bali One8 Ft R Kelly. Ile ilikuwa ni Project ya Airtel ambayo waliunda hilo kundi la One8 na One8 ndiyo ilim-ft R Kelly! Sasa wewe na wenzako kila siku mnajidanganya kwamba ni collabo ya Kiba na R Kelly... yaani sawa sawa na leo Abdul Kiba au Baba Levo aulizwe ameshawahi kufanya collabo na Diamond; halafu ajibu ndiyo! Akiulizwa ngoma gani, anajibu Leka Dutigite... sasa si atakuwa mwehu!!!

Narudia swali: Hivi huyo Kiba amewahi kufanya collabo kubwa na nani hadi ionekane kuna watu waliziba collabo yake na Ne-Yo?!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umemchapa kofi la kwenye macho
 
hivi huoni salam amekaa kinafiki nafiki....afu ni kawaida ya watu wa aina ile.....
 
Kwahiyo kipi cha kujivunia kati ya hao watu wawili ne yo na r kelly mean ww unaona ne yo ni bonge la msanii kwa wakati huo ambao anakutana na diamond hapo uneambiwa hata hiyo coraboration ne yo ndie aliyetaka kumjua diamond sasa unakuna maneno mengi
 
We mzaramo nenda kacheze singeli huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…